Sakata la mchezaji Hassan Kessy, Simba wako sahihi

Alilipiwa kila kitu kilichopo kwenye mkataba. Ndio maana Yanga wakajaribu kuleta utetezi wa mishahara 3 ya mwisho. Zilipoletwa risiti za mishahara kutoka CRDB ikabidi wakiri kwamba walimsajili Kessy akiwa na valid contract na Simba. Suala hili lisingefika huku kama Yanga wangewasiliana na Simba kwani mkataba ulibakiza siku 5.Lakini ujinga wa viongozi waliopewa jukumu hilo ndio haya tunayojaona leo.
 
Good akili mu kichwa sasa!
 
Huyu kocha hafiki Februari lazima wamtimue. Zimecheza timu mbili na bado wamefungwa. Kesho magazeti sijui yataandika nini?
 
1481431732744.jpg
1481431743233.jpg
1481431748963.jpg
 
Singano ni kosa la Simba kutotimiza masharti ya mkataba ya kumlipia pango. Yondani na Ngassa hawakuwa na vipengele vya aina hiyo. Wacha kutoa mifano mfu. Ukivunja mkataba upande uliovunja mkataba upo liable kulipa fidia kutokana na masharti ya mkataba.
Na katk hili ndo maana Simba wamewahi kudaiwa na Msoti,, Yanga wanadaiwa na Tegete huyo Dogo kijasho kitamtoka lazima Bilioni yetu atoe tu.

Sisi tunataka tukamilishe ujenzi wa kiwanja chetu huko Bunju.
 
Dadadeki,, Yanga wanachangia ujenzi wa uwanja wa Bunju bila kupenda,,

1: Hamsini Million tunachukua
2: Kesi inapelekwa mbele Caf
3: Alafu baadaye tutaisogeza pale Fifa hadi kandambili inyooke kabisa Kama rula Uwanja utaisha kwa style hii.
Angalia kandambili zitakimbia humu...
 
Alilipiwa kila kitu kilichopo kwenye mkataba. Ndio maana Yanga wakajaribu kuleta utetezi wa mishahara 3 ya mwisho. Zilipoletwa risiti za mishahara kutoka CRDB ikabidi wakiri kwamba walimsajili Kessy akiwa na valid contract na Simba. Suala hili lisingefika huku kama Yanga wangewasiliana na Simba kwani mkataba ulibakiza siku 5.Lakini ujinga wa viongozi waliopewa jukumu hilo ndio haya tunayojaona leo.
Kunakituo kimoja cha redio nao waliingia kichwa kichwa wakiamini Simba huwa inawalipa wachezaji kienyejibenyeji kiasi kwamba kusingepatikana salary slip...nao wameumbuka...
 
Ligi haijanza kwani?Hiyo iliyokuwa inachezwa kutoka mwezi wa augusti ilikuwa bonanza?Kishoka jana kacheza matokeo ngapi ngapi?
 
Adhabu ndogo sana Simba watumie haya maamuzi kufungua kesi ya madai. Vipi kuhusu mechi alizocheza Kessy itakuwaje?
Tatizo lipo kwa yanga kupeleka jina caf wakati bado kesy hajasajiliwa rasmi, lkn kwenye ligi hakuna shida maana mkataba umesainiwa baada ya mkataba wake kuisha
 
Madogo wa under 20 hao wameonyesha nyota inavyong'aa ya Simba. Chamazi ilikuwa chungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom