Sakata la mauaji Uvinza, Kigoma:Kumbe Mbunge wa eneo husika kaandika kwa Spika kutaka hoja binafsi ili Bunge liunde kamati teule kuchunguza!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya Ado Shaibu wa ACT-Wazalendo

@ AdoShaibu 39m
Tunafahamu: 1. Mbunge wa Kigoma Kusini Hasna Mwilima ameandika kwa Spika kutaka hoja binafsi ili Bunge liunde Kamati Teule kuchunguza mauaji ya Mpeta. 2. Spika amempeleka kwa PM ili wayazungumze kusiwe na hoja. 3. Safari ya Kangi Lugola ni kuzima hoja ya Kamati Teule.
 
hawa watu wana kazi ngumu sana aisee haya mambo sasa yanazidi kuwa wazi
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya Ado Shaibu wa ACT-Wazalendo

@ AdoShaibu 39m
Tunafahamu: 1. Mbunge wa Kigoma Kusini Hasna Mwilima ameandika kwa Spika kutaka hoja binafsi ili Bunge liunde Kamati Teule kuchunguza mauaji ya Mpeta. 2. Spika amempeleka kwa PM ili wayazungumze kusiwe na hoja. 3. Safari ya Kangi Lugola ni kuzima hoja ya Kamati Teule.
Hayo hoja binafsi yanatoka wapi...hao mnaosema waliouwawa kwani ndugu zao wako wapi?
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya Ado Shaibu wa ACT-Wazalendo

@ AdoShaibu 39m
Tunafahamu: 1. Mbunge wa Kigoma Kusini Hasna Mwilima ameandika kwa Spika kutaka hoja binafsi ili Bunge liunde Kamati Teule kuchunguza mauaji ya Mpeta. 2. Spika amempeleka kwa PM ili wayazungumze kusiwe na hoja. 3. Safari ya Kangi Lugola ni kuzima hoja ya Kamati Teule.
Bado kunamengine yametoke uvinza huko huko kata ya kalya wale wanaofanya zoezi la uvuvi haramu wamechoma Mali zawatu tena nyavu halali na kuchukua injini zinazo tumika kwa ajili ya kivuvi nyavu wamechoma ila mashine hazijajulikana wanazipeleka wapi hawajasema fununu zinasema kuwa wamiliki wa hizo mashine watazitolea pesa ndipo zirudi kwa wenye Nazo kwanini nasema ni nyavu halali aliitwa bwana anaehusika na mazao ziwa Tanganyika kwa eneo husika maarufu bwana samaki alisema na akapima nyavu zipo sawa naleseni ya uvuvi akatoa pia ninamaswali kadha hapa nahitaji majibu
1 iweje nyavu inayo uzwa dukani narisiti unapewa tena hadharani na ubora unaotakiwa ionekane haram
2 je serekali inapokea au kuchukua kodi katika vitu haram kwamaana risiti inapotoka kuna haki ya serekali pale
3 iweje serekali ipate chake kupitia risit na muuzaji nae apate chake hasara aachiwe mtumiaji ndio abebe
Maswali haya ingewezekana angenijibu husna au mkuu wake wachama ambae ni kiongozi wangu wa nchi hujisema ni kiongozi wa wanyonge sijui niwanyonge gani fika au tuma watu uvinza kata yakalya watuwamepigwa nakunyanyaswa vibaya wale ndio wanyonge wenyewe mwisho tunakuomba mkuu mashine walizo chukua mbali nashughuli za kivuvi pia husaidia kusafirisha wakina mama inapotokea dharura yakujifungua matibabu yanapo shindikana ndio usafiri wetu wa haraka
 
Back
Top Bottom