Sakata la mashekhe wa uamsho laibukia bungeni

Sio tu mkuu wa nchi alikuwa Muislam mwenzao, hadi mkuu wa mahakama (jaji mkuu) alikuwa ni muislam mwenzao tena wenye kukaa mabaraza ya IDD pamoja. Halafu wakitoka hapo wanaenda kuwasokomeza mavijiti maulamaa wenzao.

Sasa watakuja hapa kina Mohammed Said na kina FaizaFoxy na ngonjera zao za "mfumo kristo"
 
Zanzibar walikuwa nje kwa dhamana na kesi iko yao mahakamani. Zanzbar hakuna kosa lisililokuwa na dhamana, ni nchi ya demokrasia ya kweli. Na ndipo wakatekwa nyara Zanzibar kuja kuwekwa ndani bara chini ya sheria za Tanganyika.Ukweli hawatoki mpaka Katiba mpya ipatikane.Ikesha patikana Katiba mpya ya kuimaliza Zanzibar, hoja itakuja Jamhuri haina haja ya kuendelea na kesi na watatoka tu lakini ni wakati huo..
Kumbe Zanzibar Nchi ya kidemokrasia, asante sana Baraghash.

Sasa akina Maalim Seif wakubali tu walishindwa.
 
Sio tu mkuu wa nchi alikuwa Muislam mwenzao, hadi mkuu wa mahakama (jaji mkuu) alikuwa ni muislam mwenzao tena wenye kukaa mabaraza ya IDD pamoja. Halafu wakitoka hapo wanaenda kuwasokomeza mavijiti maulamaa wenzao.

Sasa watakuja hapa kina Mohammed Said na kina FaizaFoxy na ngonjera zao za "mfumo kristo"
Uislamu sio jina, bali ni vitendo vya kusimamia, kupigania na kulingania haki itendeke. Kiongozi anaweza kuwa sio muislamu lakini matendo yake yakawa bora kwa waislamu kuliko yule anayejiita muislamu. Hakuna dini inayosomesha ubaguzi ama dhulma. Ni matendo ya kibinafsi tu hayo ambayo hayahusiani na dini anayoabudu.
 
yakaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, mashekh walishindwa kutofautisha ya Mungu na ya Kaisari. wapo chuo wanafundishwa ya kaisari waliokuwa hawajui, wakifuzu watatolewa
Uovu unachukiza kwako akitendewa mtu wa aina gani
 
Hapa sasa ndipo unapojua akili za ccm wanazijua wenyewe waliofanya jitihada waletwe huku ni hao hao waislamu kuna watu wanafki kweli ktk dini
 
ImageUploadedByJamiiForums1463549535.754341.jpg

Watoeni....magaidi ni hawa wanao piga watu bila sababu.
Ramadhani inakuja hebu wacheni ujahil.....
 
Tatizo la ukawa ni wanafiki na wabinafsi wa kutupwa.

Kila kitu wanataka waseme wao au washinde wao...

Uchaguzi akishinda chadema hapo tume ya uchaguzi na lubuva watasifiwa sana.

Mameya wa ukawa wakisimamisha MTU kazi watasifiwa sana ..

MTU anakuwa fisadi akiwa chama kingine ila akihamia chadema anakuwa safi kabisa...
 
Akili za kushikiwa shida sana, sasa hapa UKAWA wanaingiaje? Hivi hapo lumumba mnakula maharage ya wapi?
 
Back
Top Bottom