jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Mimi mgeni humu, waulizwe wenyeji.Hivi Rais wetu anafuata ilani ya ccm au ya kwake.?
Mimi mgeni humu, waulizwe wenyeji.Hivi Rais wetu anafuata ilani ya ccm au ya kwake.?
Au wanampa mwanao nafasi ya juu kwenye kampuni ili kuonyesha ushirikiano kwako, halafu mshahara $10000-20000.Wale jamaa ni washenzi, wanaweza kukupa offer ya kukusomeshea mtoto university ulaya kumbe wameshapiga hesabu itakuwa £30,000 na watapata £300,000 kutoka kwako
naona mnufaika wa utawala wa kikwete umeibuka toka mafichoni.Ni swali valid kabisa.
Ilikuwaje Iyo, ni yakweli mkuu?? Sky EclatPale ndiyo nilifahamu maana ya jeuri ya pesa.
Kuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Kuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Mkuu rejea kwenye kesi ya akina Mramba ukijiridhisha,hutataka kuendelea na haya maswali yako.Tusijishughulishe sanaa na mkia wakati kichwa kipo turekebishe hii katiba na kichwa kijibu maswali yako,vinginevyo Mramba mwisho wa siku alisema sio yeye ni Mkapa kesi kwisha.Raisi mstaafu hashitakiwi kwa makosa aliyoyafanya wakati akiwa raisi.haya tuendelee kucheza mdumange.i asaidie kujibu maswali watakayo muhoji?
Kwa mfano:-
Ilikuwaje akasaini mikataba nje ya nchi,Je mamlaka yake ya uwaziri iliruhusu kufanya hivyo,na Je ni nani alimpa mamlaka ya kufanya hivyo?
Je alisoma vizuri vipengele vya mikataba kabla ya kusaini?
Je ikibainika ya kuwa alishiriki kuipunja nchi thamani halisi ya mkataba aliyosaini na kuonekana alipewa rushwa,nini kifanyike?
Anyway pengine maswali yanaweza yasiwe kama haya,lakini ni vyema kuonesha ushirikiano.
Huyu Karamagi mwache ajifanye kichwa maji! ATAJUA TU CHA KUSAIDIA! ile kiburi yao ya zamani sasa imefika mwisho wakinusurika WATAFAGIA HOSPITALI, lakini STAHILI YAO NI KUNYEA DEBE!
Ataonewa bure huyo mzee! kwani alikuwa chini ya nani wakati anaenda kusaini mikataba nje? je kiongozi mkuu wa wakati huo alikuwa na habari?Si asaidie kujibu maswali watakayo muhoji?
Kwa mfano:-
Ilikuwaje akasaini mikataba nje ya nchi,Je mamlaka yake ya uwaziri iliruhusu kufanya hivyo,na Je ni nani alimpa mamlaka ya kufanya hivyo?
Je alisoma vizuri vipengele vya mikataba kabla ya kusaini?
Je ikibainika ya kuwa alishiriki kuipunja nchi thamani halisi ya mkataba aliyosaini na kuonekana alipewa rushwa,nini kifanyike?
Anyway pengine maswali yanaweza yasiwe kama haya,lakini ni vyema kuonesha ushirikiano.
Kwa jeuri aliyoonyesha kwa Magufuli huenda ukatikiswa.Tena huyu KARAMAGI ndio hafai kabisa kapora ardhi ya wananchi Ndani ya wilaya yetu ya KILOSA tena katikati mji mdogo akijiita mwekezaji wa shamba, watu wanajiuliza kuna sheria ipi inaruhusu ndani ya mji mdogo kuwa na shamba? Anacholima hakijulikani!! Analima mbaazi wakati zamani(mkolon) lilikuwa mashamba ya mkonge yenye kutoa ajira na tija kwa taifa... Mikataba yake haieleweki. Tena eneo hili linachukua robo ya eneo la wilaya yy alinunua kwa sh. Million 500 tu... Cha ajabu hata wazir wa ardhi anamuogopa balaa huyu jamaa akija kwenye ziara anaishia pembenzoni mwa wilaya hapa central KILOSA hanusi pua yake... Mimi mzalendo wa Tanzania ila nashawishika sana na wimbo wa Young Dee "bongo bahati mbaya" kwa jinsi nchi ilivyo.
Ndiyo sheria imempa mamlaka Waziri kusaini mkatabaKuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Maelekezo toka juu mkuuKuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Rejea nilichoandika Mkuu.Kuna moja umesahau. Je, ulipataje pesa inayoonekana katika Account yako?
Mwache atese nchi ya wagagagigikokoJe ni kweli hajui asaidie nini kwa mjibu mapendekezo ya kamati ya pili na maamuzi ya Rais.......
Hiyo si lugha nzuri - kuwa mstarabu, kwani lugha za akina chenge ni zipi???Hao ndio wahaya na hizo ndio Tabia zao wakiwa na hela
Acha utaniHaahaaaaa, na maua yao mikononi..kazi kweli kweli.