SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

Inaelekea sasa tunapoteza muelekeo.....ningefurahi saana na bila shaka tungepata mafanikio ktk hii vita ya madini kama tungekuwa kitu kimoja.Stage iliyofikia ni ngumu saana na kutupiana lawama nk..nk...kutatufanya tushindwe hii vita.
TUSHIKAMANE TUSHINDE HII VITA KIZAZI CHETU KIISHI MAISHA BORA.
Wakati wapinzani wanataka kushikamana ili kutetea usiri wa mikataba ya madini ambayo haikuwa na tija, wabunge wa ccm walikuwa wanazomea, rejea kufukuzwa kwa ZZK bungeni alipohoji kusainiwa kwa mkataba nje ya nchi. Wanatakaje mshikamano sasa wakati ndio walioharibu?
 
Rejea nilichoandika Mkuu.
After all wataouliza/hoji sio sisi ni mamlaka zilipewa majukumu hayo.
Sisi hapa ni kubeti tu,sasa kama unabeti kuwa akaunti yangu INA pesa ya karamagi well and good,let us see.
Hio ilikuwa muendelezo wa maswali akimaanisha akaunt ya karamagi sio yako mkuu.
 
Back
Top Bottom