Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485


index.jpeg



Msanii na Mlimbwende wa Zamani wa Tanzania Wema Sepetu, amefikishwa Mahakamani kwa shutuma za kutumia Madawa ya Kulevya.

=======

UPDATES:

=======

Hatimaye Wema Sepetu apata dhamana kwa mashtaka yaliyomfikisha kisutu mbele ya mh. Simba.

Wema alikuwa akiwakilishwa na wakili Msando.

Kesi imepangwa kwa kutajwa mwishoni mwa mwezi Februari

=======
Wema Sepetu kukamatwa na kuhukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya
Yaliyojiri katikati ya mchakato wa upelelezi wa kesi ya wema
Wema kukutwa na kesi ya kujibu
Kuhukumiwa na kuachiwa huru baada ya kulipa faini
 
Duh....sasa sijui ataweza kukaa kimya au ndio ataanza kuropoka
 
Back
Top Bottom