Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

Kipalo kisamfu,muhandisi mkuu,meneja ununuzi ndio walionunua,tena walilipa 100% kabla ya mzigo kufika.mwakyembe hayupo kabisa humo,,team lowassa mmekua kama sungura sasa
Haki itendeke na yeyote aliyehusika achukuliwe hatua,
 
Hili suala, Mawaziri waliopita wanatakiwa wawe lupango. Sitta na Mwakyembe wanatakiwa wasaidie polisi.
 
Ajabu ni kwamba Mwakyembe hta kuulizwa anaweza asiulizwe wkt inshu ipo waz watakomaa na vidagaa mapapa yanaachwa
 
Ila laki pesa kweli umeishiwa ni hakuna tena. hivi tangu lini waziri akawa mtendaji wa wizara? Nenda shule kasome tena kama hukusoma elimu ya uraia. Mnapalamia mitandao kwa kutumwa huku kichwani mkiwa weupe pee. Kwa taarifa yako sasa wanunuzi wa mabehewa ni kitengo cha procurement katika idara husika ya TRL, na zaidi ya hapo Dr. Mwakyembe ndiye aliyeanzisha mchakato wa kuwachunguza hao jamaa na katika kudhihilisha hilo aliwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi. Mchakato huo alimuachia Mzee Sitta ndiye aliyemalizia. Sasa kama alihusika alipata wapi ujasili wa kuwasimamisha kazi na kuunda tume ya kuchunguza na ambayo ndiyo inayowatia hatiani?

Dr. Mwakyembe is clean na hamtamkuta na doa lolote na nchi nzima hii wanajua.
 
Yule waziri husika ndiye aliyeunda tume ya kuchunguza sasa unamhusishaje na kwenda mahakamani? Maana hata kutoa ushahidi hausiki, wahusika ni tume aliyokuwa ameiiunda.. Mwakyembe ana akli kuwazidi nyie hawezi kuingia kwenye vitamaa.

Tunajua Richmond bado inawatesa sana. Mwakyembe hamumpati.
 
Umeliona hilo eneo au unabwatuka tu? Piga picha na weka vielelezo vya ununuzi wa hilo eneo.
 
Ila laki pesa kweli umeishiwa ni hakuna tena. hivi tangu lini waziri akawa mtendaji wa wizara? Nenda shule kasome tena kama hukusoma elimu ya uraia. Mnapalamia mitandao kwa kutumwa huku kichwani mkiwa weupe pee. Kwa taarifa yako sasa wanunuzi wa mabehewa ni kitengo cha procurement katika idara husika ya TRL, na zaidi ya hapo Dr. Mwakyembe ndiye aliyeanzisha mchakato wa kuwachunguza hao jamaa na katika kudhihilisha hilo aliwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi. Mchakato huo alimuachia Mzee Sitta ndiye aliyemalizia. Sasa kama alihusika alipata wapi ujasili wa kuwasimamisha kazi na kuunda tume ya kuchunguza na ambayo ndiyo inayowatia hatiani?

Dr. Mwakyembe is clean na hamtamkuta na doa lolote na nchi nzima hii wanajua.
Lowassa kama Waziri mkuu alihusika na richmond kwa mujibu wa wanaccm ila mwakyembe kama waziri wa uchukuzi mabehewa feki hayamuhusu du,
 
Back
Top Bottom