mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
Lile sakata la ununuzi wa mabehewa mabovu sasa limefika pahala pake ambapo katibu mkuu wizara ya uchukuzi ndugu. Shaban Mwinjaka kuagiza wahusika wote wafikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo kwa upotevu huo wa rasilimali za umma.
Chanzo: Azam News
My take: Je, yule waziri husika anakwepa hili?
Chanzo: Azam News
My take: Je, yule waziri husika anakwepa hili?