Definitely asingesema kinyume na hivi ndio ingekuwa habari, wanasheria wanatetea waharifu siku zote na mtu kutoka au kusota lupango pia sio kigezo cha kusema alifanya au hakufanya. Ukweli utabaki kuwa video ya kwanza mngemuacha mwenyewe alierecord ndio ajitete mbele ya watanzania. Kwa aliyosema alipaswa kukamatwa hata serikali ingekuwa chini ya Lissu and etal.
Na chama kiendelee kuwa chama na msimamo wa mawakili hawa uwe tofauti na chama chao. Je wanalipwa na chama kwa kazi hii!
Video ya lwakatare ni ya kweli na ni halisi - wataalam, zaidi soma mtz ya leo j2
Walioweka sheria hawakuwa wajinga, video sawa tunamuona Lwakatare anaongea lakini aliongea akiwa na nia gani. 1. Inawezekana alitaka kumdhuru Msacky 2. Inawezekana Ludo alimwambia Lwakatare wanachotafuta akina Mwigulu Nchemba na Msacky hivyo wakaamua kurekodi video kwa kuangalia ni sheria zipi watazitumia mahakamani incase akikamatea. Wote walitaka kucheza propaganda. 3. Kulingana na maelezo ya Lissu, inawezekana Ludovick alimuingiza jamaa mkenge ili tu apate video, sheria zitaangalia je alikuwa na hiyo nia kabla hata ya Ludo kumfata, na je Ludo ana mafunzo gani kumchezea mtu saikolojia na kumpoteza aseme unachomuelekeza ( soma jinsi polisi wanavyohoji jambazi mpaka anakiri kosa au soma yule jamaa aliyemuua rais kennedy wa marekani.) 4. Mkanda una karibu miezi miwili na nusu umerekodiwa kwanini usingetolewa mapema, je kuna uwezekano wa kuhariri video? Je kuna vitu vimeyolewa pengine mwanzo alisema ngoja tuwachezee akili hawa watu. 5. Je polisi wanazo karatasi original alizoandika lwakatare au wame pause video youtube wakaprint. Kwanini? Isije ikawa ni hao hao akina lwakatare wanacheza propaganda 6. Tuiachie mahakama iamue. Akishinda mahakamani bado mahakama ya umma kwenye masanduku ya kura
Kwanini amefuta mashitaka na kuyafungua yale yale....alifanya hivyo kwa lengo la kuizuia mahakama kutoa uamuzi, amefanya hivyo na kitendo hiki ni kuingilia uhuru wa mahakama ....ndicho tunakilalamikia
Tupo hapa tulipo kwa sababu ya watu wa aina yako. Isitoshe, swala hili lipo mahakamani hivyo si haki kulijadili au kulitolea hukumu hapa.Tundu Antipas Lissu amedai Mwigulu nchemba na ludovick walikuwa na mawasiliano tar.28.12.12 saa 5 na dakika 55.
Swali.Mawasiliano ya mwigulu na Ludovick yanaathari gani?yana iondoaje chadema kwenye sakata la Ugaidi.
Lissu huoni kama mwigulu anakuwa shujaa amelisaidia jeshi la polisi na usalama wa Taifa kunasa michezo michafu ya chadema kupitia kijana wa chadema Ludovick.
Mwigulu ametumia mbinu zake tena kwa kumtumia kijana wa chadema wa ndani kabisa kupata Ugaidi wa chadema.
Mwigulu ni shujaa!
Na malalamiko haya lazima yafikishwe kwa wananchi kwa maandamano...
tundu atabaki kua kichwa nawe mburura daima utakua nyuma yakeTundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Tundu Antipas Lissu amedai Mwigulu nchemba na ludovick walikuwa na mawasiliano tar.28.12.12 saa 5 na dakika 55.
Swali.Mawasiliano ya mwigulu na Ludovick yanaathari gani?yana iondoaje chadema kwenye sakata la Ugaidi.
Lissu huoni kama mwigulu anakuwa shujaa amelisaidia jeshi la polisi na usalama wa Taifa kunasa michezo michafu ya chadema kupitia kijana wa chadema Ludovick.
Mwigulu ametumia mbinu zake tena kwa kumtumia kijana wa chadema wa ndani kabisa kupata Ugaidi wa chadema.
Mwigulu ni shujaa!