Sakata la Lovness Tarimo limejaa ukakasi

hii habari sijawahi fatilia na ndiyo naiona hapa....BONGO haijawahim pita mwezi kitu kisitrend
 
kwenye yale mashindano yao, alionekana kavaa bikini, na katikati hapajaduna kabisa, pako flat. inawezekana alizaliwa mwanamke ila anajiweka kama mwanaume and that is very bad kwakweli. hao ndio kina semenya wa south afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…