Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,286
Papa Francis anakazi sana kudeal na hizi case za transgender. Ndo maana kaona isiwe tabuNi kiki tu na ameshaomba msamaha. Loveness ni mwanamke haina utata wowote.
Ambae ana uhakika ni mwanaume ajitokeze athibitisheš
Ladyboy huyo
Hahahaha,dahJuzi kati nilikuwa nawaza Loveness anavyotrend ina maana Mshana hajafikiwa ili tupate uzi...leo mapema uzi umebandikwa
Enwei,mwenye jinsia yake anasema yeye ni Ke
Msiambiwe...šHalafu eti na wewe usiyependa kufuatilia uko kwenye mkondo huohuoš¤£
Unamuonesha uwembe, lazima awe mpole. Dawa ya baunsa ni uwembe tu.Nina bro wangu natamani apate mke aina ya lovness ...
Jamaa anapenda sana kupiga wake zake...
Lovness akikuudhi kama mme wake unafanyeje wazee?
šššHalafu eti na wewe usiyependa kufuatilia uko kwenye mkondo huohuoš¤£
Umemuona lovness lakini mkuu?Unamuonesha uwembe, lazima awe mpole. Dawa ya baunsa ni uwembe tu.
Ni wa MbagalaHuyo anayedai ni mke wa loveness ni muongo! Anataka kutrend
Sioni sura ya Canada hapoš
Hujui wabongo na tabia ya kutembelea kiki za watu?
Kwani wazungu ndio wanapenda kuzibua mitaro?Kama ana mchumba ambaye ni mzungu, basi atakuwa anazibuliwa sana huko nyumaa
Kwa nini anapenda kuvaa na kujiweka kama man
Madalali wa kimara wanajua Hadi jinsiaLovenes ni mwanamke na kuna dalali kaniambia kabisa kampangishia chumba kimara korogwe . Zingine kiki je sura ya huyo dada anaesema mke wa loveness inaonyesha ashawahi fika hata nje ya mkoa wake mbona haiendani
Hivi kisheria huyu hatakiwi kushtakiwa?
Wabongo tunapotezea sana ila huyu akishtakiwa hatoboiƬHivi kisheria huyu hatakiwi kushtakiwa?
Wabongo tunapotezea sana ila huyu akishtakiwa hatoboiƬ
šLovenes ni mwanamke na kuna dalali kaniambia kabisa kampangishia chumba kimara korogwe . Zingine kiki je sura ya huyo dada anaesema mke wa loveness inaonyesha ashawahi fika hata nje ya mkoa wake mbona haiendani