Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

Wewe unahisa?acha kutukana wenzako mjinga mwenyewe mawazo yamtu yaheshimiwe mxx?
 
Kwa maelezo yako basi Vodacom hawaaminiki kabisa.Kama waliweza kumpa Lema mawasiliano yako ya kifedha na watu wako basi hawastahili kuaminiwa.Tunashukuru kwa kutufungua macho kama ni kweli lakini!Maana "dini" nyingine zinaruhusu waumini wake kusema uwongo na uongo huo hubarikiwa.
Swali : Mchange hela za kuhonga alizitoa wapi ?
 
Back
Top Bottom