Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

Daa kwa kweli brother umenigusa. Lakini tumekuwa tukisema sana sisi tuliokuwaga huku kwamba hiki ni chama cha mazingaombwe lakini watu hawaelewi. Ulilolisema labda ni theluthi tu ya madudu ambayo yamo mule ndani sema ndio hivyo unajifanya mzalendo unamezea. Ili usije wafanya wanachama wengine wakapotea. Chama hiki kwa matendo haya na mengine mengi kwa sasa hakifai tena hakifai kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii.n hatari mnooo. Yapi mengi lakini mengi zaidi wanayo mioyoni wale wote waliokwisha ondoka. Eti leo Kafulila anajifaya amerudi chadema, sijajua kufanya nini. Kwani alipokuwepo nccr kuna tatizo gani. Biashara ya kufanya siasa kama mtaji wa kupata ugali wa watoto ndio umetufikisha hapa. Na hatuutaki. Ni unafiki mkubwa. Angalia juzi mlikua mnawaita watu watuhumiwa wa ufisadi. Leo watu wale ni wasafiiiii. Hata doa hawana. Wakati ulikuwa unasema ulikua na ushahidi usio na shaka. Ukiuliza sababu eti unageuzia upande wa pili tatizo, unajiuliza mwenyewe kama wangekuwa mafisadi si wangeshapelekwa mahakamani? ?. Ni sheeda sana mavyama haya. Eti yanataka madaraka ya nchi. Haohao waliokuwa wanawaita mafisadi na hawawezi kusafishika leo hii wanawapigia kampeni waende kulekule ikulu. Hahahahahah kweli wajinga ndio waliwao wajameni
 
Habib Mchange umepatia, Chadema ni chama kinachoongoza kwa unafiki duniani.

Kwao hata Chenge, Lugumi wakihamia chadema watapewa utakaso wa hali ya juu kwa sababu watakuwa wamejiunga na saccos .

Badala ya kuitwa mafisadi Papa, wataitwa waleta mabadiliko.
Hahahaha
 
Lakini watu muache unafki wakati watch 8 amepotea Lissu na.genge lake.walikuja na namba 07.......ambayo ni namba ya voda na mkasema mnaomba voda wawape ushirikiano kuonyesha kuwa ni ya nani na ndio ilomtisha Watch 8 last tym na hata GJ Malisa alivyokuja na genge lake la wahuni nae alisema wameomba taarifa za simu ya Watch 8 kwenye mitandao ukiwemo voda sasa tuwe patient hata mahakama imeomba taarifa kama CHADEMA walivyoomba taarifa so conclusion *Kunyweni maji wanangu*
 
Lakini watu muache unafki wakati watch 8 amepotea Lissu na.genge lake.walikuja na namba 07.......ambayo ni namba ya voda na mkasema mnaomba voda wawape ushirikiano kuonyesha kuwa ni ya nani na ndio ilomtisha Watch 8 last tym na hata GJ Malisa alivyokuja na genge lake la wahuni nae alisema wameomba taarifa za simu ya Watch 8 kwenye mitandao ukiwemo voda sasa tuwe patient hata mahakama imeomba taarifa kama CHADEMA walivyoomba taarifa so conclusion *Kunyweni maji wanangu*
Walipewa au voda walikausha to...
 
Pole sana ndugu yangu. Ila nakupa pole tena maana najua saa hizi wanaandaa matusi ya kuja nayo hapa. Hichi ndicho xhama chetu kimejaa unafiki na matusi. Namkumbuka sana Mkubwa Fella " nyie watoto ambao mmezaliwa kipindi hichi cha Jakaya mna tabu nyinyi" . Basi subiri watakuja waliozaliwa kipindi hicho matusi kwenda mbele hawajali mkubwa wala mdogo
 
duh hatar ulimkopa nauli mjumbe wa mkutano ambao wewe mkopeshaji ni mgombea! japo ilikua sahihi wewe kuttopata hiyo nafasi sidhan kama ungeitendea haki.
 
1f669a612e335e96859a3d2fbb2ebfcb.jpg
 
Vodacom nilihama kitambo napigiwa tu simu mimi sinunui bando langu huko kabisa. Nipo na Halotel buana.

Hashtag[Tupa line ya voda]
 
Pole sana kaka kama hamtumii voda ni nyiee wakazkazin tuacheni na voda yetu hayo mambo binafsi ya mtu msituletee hapa likawa janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom