jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,990
- 4,361
Huu uadui na haya madai amabyo yanaibuka kila kukicha ni hatari kwa usalama wa taifa letu hili changa maana sasa kila tukio kuna washukiwa lakini baada ya muda yanaisha bila kujali makovu ambayo haya matukio yanaacha kwa watu na familia za wahanga........