Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

Jana kikundi cha Bavicha kiitwacho UTG kilifanya mkutano na wanahabari kuhusiana na suala ya Ben Saanane, kiukweli Mimi Kama Mtanzania mpenda amani niliposikia UTG wanaongelea kuhusu suala la kamanda Ben nilijawa na Shauku kubwa kutaka kujua Kama wamepata angalau fununu alipo kijana huyu wa kitanzania.

Kilichonishangaza baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

Suala la Saanane limekuwa LA kutupiana Mpira Kati ya polisi na chadema bila kupata ufumbuzi alipo kijana huyu.

Tutakumbuka Kuwa wakati Ben Saanane anatoweka Akina Mh Freeman Mbowe walikuwa na Safari Katka nchi za Jumuiya ya ulaya lakini sambamba na ilo ndicho kipindi ambacho Mh Tundu Lissu aliibuka na neno dikteta uchwara. Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwa.

Tetesi Hizo kutoka kwa chanzo kilicho Karibu na uongozi wa CHADEMA, kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai baada ya Akina Mbowe kufika Ulaya hawakupta mafanikio kama walivyotarajia Matokeo yake waliporudi wakamtaka Ben ajitokeze lakini inasemekana kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

Katika press conference ya Jana ya vijana wa Bavicha kupitia taasisi yao ya UTG Nilitegemea kusikia wakisema juhudi binafsi ya Chama kumtafuta Ben Saanane kupitia kitengo cha intelejesia ya Chama angalau kutupa Mwanga alipo Ben Saanane.

Tukumbuke Mbowe kwa kinywa chake Amewai kukaririwa akidai Ben Saanane katekwa lakini hawa vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
Akili yako haina tofauti sana na Bashiste. Kwa akili ya kawaida kitu wakishindwa polisi ni nani hawezaye? Maana polisi wameshindwa kumpata Case study.. Ulimboka? Kibanda? Roma! Njoo na majibu nikuondole Ziro
 
Chadema ndio walio mteka mlinzi wa dr slaa, wakampiga kwelikweli au umeshasahau? Basi fahamu kuwa ndani ya Chadema wapo watesi na wateka nyara.
 
Unakumbuka sms ambazo ametumiwa Ben na Mh. Lissu alizisoma hadharani? Ikiwa tunapuuza ushahidi kama huo na namba ya simu iliyomtumia ilitajwa. Leo wewe unatupotosha mchana kweupe? Hivi ni lazima kufanya propaganda hata kwenye maisha ya mtanzania? Hayo unayosema una hata chembe ya ushahidi?
 
Akili yako haina tofauti sana na Bashiste. Kwa akili ya kawaida kitu wakishindwa polisi ni nani hawezaye? Maana polisi wameshindwa kumpata Case study.. Ulimboka? Kibanda? Roma! Njoo na majibu nikuondole Ziro
Polisi wamesema wameshindwa? Na unadhan Polisi pekee ndo wanaweza? Usiongee kwa kujiamn wakati huna uhakika.
 
Chadema ni genge la waharifu waliojificha kwenye kichaka cha chama
 
Kati ya CHaDEMA, UTG, na Polisi nani mwenye wajibu wa kulinda usalama wa raia na mali zao?

Kwa mjibu wa katiba ya nchi, nani anapokea kodi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa nchi na watu wake?

Mbona kama huna kichwa? Unataka CHADEMA waunde jeshi la ulinzi?

Kama wewe unajua CHADEMA ndo wamemchuka ben Sanaanane, kwa nini hupeleki taarifa serikalini ili hao polisi na serikali yao wachukue hatua stahiki? Unataka CHADEMA wafanye kazi ya serikali?

Kweli wee ni lipumbavue nambari moja kati ya wapumbavue vwote duniani.

Jana kikundi cha Bavicha kiitwacho UTG kilifanya mkutano na wanahabari kuhusiana na suala ya Ben Saanane, kiukweli Mimi Kama Mtanzania mpenda amani niliposikia UTG wanaongelea kuhusu suala la kamanda Ben nilijawa na Shauku kubwa kutaka kujua Kama wamepata angalau fununu alipo kijana huyu wa kitanzania.

Kilichonishangaza baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

Suala la Saanane limekuwa LA kutupiana Mpira Kati ya polisi na chadema bila kupata ufumbuzi alipo kijana huyu.

Tutakumbuka Kuwa wakati Ben Saanane anatoweka Akina Mh Freeman Mbowe walikuwa na Safari Katka nchi za Jumuiya ya ulaya lakini sambamba na ilo ndicho kipindi ambacho Mh Tundu Lissu aliibuka na neno dikteta uchwara. Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwa.

Tetesi Hizo kutoka kwa chanzo kilicho Karibu na uongozi wa CHADEMA, kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai baada ya Akina Mbowe kufika Ulaya hawakupta mafanikio kama walivyotarajia Matokeo yake waliporudi wakamtaka Ben ajitokeze lakini inasemekana kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

Katika press conference ya Jana ya vijana wa Bavicha kupitia taasisi yao ya UTG Nilitegemea kusikia wakisema juhudi binafsi ya Chama kumtafuta Ben Saanane kupitia kitengo cha intelejesia ya Chama angalau kutupa Mwanga alipo Ben Saanane.

Tukumbuke Mbowe kwa kinywa chake Amewai kukaririwa akidai Ben Saanane katekwa lakini hawa vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
 
Polisi wamesema wameshindwa? Na unadhan Polisi pekee ndo wanaweza? Usiongee kwa kujiamn wakati huna uhakika.
Sasa wewe unahukaika? Mbona umeongea. Rejea kauli ya Polisi kuhusu ulimboka...... Rejea kauli ya Roma baada ya kupatikana..... Rejea kauli ya kibanda baada kuhojiwa. Rejea kauli ya Mh Zito kabwe kuhusu Ben hivi karibuni bungeni. Hivi Polisi ndiyo walio mpata Roma? Walisha mkamata aliyemtoka ulimboka? Vipi kuhusu kibanda nani anashikiliwa so far? Unataka nini ujue wameahindwa.....?
 
Back
Top Bottom