Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

Jana kikundi cha Bavicha kiitwacho UTG kilifanya mkutano na wanahabari kuhusiana na suala ya Ben Saanane, kiukweli Mimi Kama Mtanzania mpenda amani niliposikia UTG wanaongelea kuhusu suala la kamanda Ben nilijawa na Shauku kubwa kutaka kujua Kama wamepata angalau fununu alipo kijana huyu wa kitanzania.

Kilichonishangaza baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

Suala la Saanane limekuwa LA kutupiana Mpira Kati ya polisi na chadema bila kupata ufumbuzi alipo kijana huyu.

Tutakumbuka Kuwa wakati Ben Saanane anatoweka Akina Mh Freeman Mbowe walikuwa na Safari Katka nchi za Jumuiya ya ulaya lakini sambamba na ilo ndicho kipindi ambacho Mh Tundu Lissu aliibuka na neno dikteta uchwara. Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwa.

Tetesi Hizo kutoka kwa chanzo kilicho Karibu na uongozi wa CHADEMA, kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai baada ya Akina Mbowe kufika Ulaya hawakupta mafanikio kama walivyotarajia Matokeo yake waliporudi wakamtaka Ben ajitokeze lakini inasemekana kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

Katika press conference ya Jana ya vijana wa Bavicha kupitia taasisi yao ya UTG Nilitegemea kusikia wakisema juhudi binafsi ya Chama kumtafuta Ben Saanane kupitia kitengo cha intelejesia ya Chama angalau kutupa Mwanga alipo Ben Saanane.

Tukumbuke Mbowe kwa kinywa chake Amewai kukaririwa akidai Ben Saanane katekwa lakini hawa vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
Acha kuwaweka waka wa Tz wote poyoyo..ivi kwa akili yako chama kidogo kitawezaje kufanya mambo ya hajabu angalia sasa mnavyo umbuka hata wasanii mnawatengea hivyo hivyo et ney usipige mzik mala wamwache mziki upigwe..roma kuteswa. na yale ya kumwagiwa tindikali kwa mwandishi nguli Kubenea..je na Ulimboka..na mwandishi Mwangosi,je na kulipua mabomu kwenye mikutano ya chadema..haya sasa ona tabia yenu tena mnaionyesha hadharan kumshikia bastora waziri anae taka haki itendeke..Nape..hana stori nyie yaan mna roho mbaya hata mlete story gan tunawajua na Mungu ata waumbua tuu
Hizo stori muwapelekee sehem mlipo wanyima elimu..sana sana vijijini huko kwa kibajaji na call me j kwani ndio mtaji wenu
 
Jana kikundi cha Bavicha kiitwacho UTG kilifanya mkutano na wanahabari kuhusiana na suala ya Ben Saanane, kiukweli Mimi Kama Mtanzania mpenda amani niliposikia UTG wanaongelea kuhusu suala la kamanda Ben nilijawa na Shauku kubwa kutaka kujua Kama wamepata angalau fununu alipo kijana huyu wa kitanzania.

Kilichonishangaza baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

Suala la Saanane limekuwa LA kutupiana Mpira Kati ya polisi na chadema bila kupata ufumbuzi alipo kijana huyu.

Tutakumbuka Kuwa wakati Ben Saanane anatoweka Akina Mh Freeman Mbowe walikuwa na Safari Katka nchi za Jumuiya ya ulaya lakini sambamba na ilo ndicho kipindi ambacho Mh Tundu Lissu aliibuka na neno dikteta uchwara. Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwa.

Tetesi Hizo kutoka kwa chanzo kilicho Karibu na uongozi wa CHADEMA, kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai baada ya Akina Mbowe kufika Ulaya hawakupta mafanikio kama walivyotarajia Matokeo yake waliporudi wakamtaka Ben ajitokeze lakini inasemekana kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

Katika press conference ya Jana ya vijana wa Bavicha kupitia taasisi yao ya UTG Nilitegemea kusikia wakisema juhudi binafsi ya Chama kumtafuta Ben Saanane kupitia kitengo cha intelejesia ya Chama angalau kutupa Mwanga alipo Ben Saanane.

Tukumbuke Mbowe kwa kinywa chake Amewai kukaririwa akidai Ben Saanane katekwa lakini hawa vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
Sawa bashite tumekusikia
 
Acha ujinga wewe kondoo wa kafara hawezi kwenda kuhoji polisi kwani Ben alikuwa anafanya kazi Polisi? Kwanini mnamuogopa mwajiri wake badala yake mnalazimisha Polisi wawape majibu ambayo alitakiwa awape Mbowe shikeni adabu zenu kusumbua Polisi wetu.
Ndio maana Hao Polisi wana Naniiiliwa kama wanavyonaniliiwa day in day out. Hovyo kabisa
 
... baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

... Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwwa....

....kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai... kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

... vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
 
Jana kikundi cha Bavicha kiitwacho UTG kilifanya mkutano na wanahabari kuhusiana na suala ya Ben Saanane, kiukweli Mimi Kama Mtanzania mpenda amani niliposikia UTG wanaongelea kuhusu suala la kamanda Ben nilijawa na Shauku kubwa kutaka kujua Kama wamepata angalau fununu alipo kijana huyu wa kitanzania.

Kilichonishangaza baada ya kupitia taarifa yao kwenye Mitandao ya kijamii Pamoja na vyombo vya Habari nikakuta porojo zilezile Za Akina Mbowe, Lissu, zitto kabwe na Joseph selasini ambazo siku zote tunazisoma kwenye Mitandao na media.

Suala la Saanane limekuwa LA kutupiana Mpira Kati ya polisi na chadema bila kupata ufumbuzi alipo kijana huyu.

Tutakumbuka Kuwa wakati Ben Saanane anatoweka Akina Mh Freeman Mbowe walikuwa na Safari Katka nchi za Jumuiya ya ulaya lakini sambamba na ilo ndicho kipindi ambacho Mh Tundu Lissu aliibuka na neno dikteta uchwara. Kuna Tetesi isiyo rasmi lakini ambalo linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi kikubwa.

Tetesi Hizo kutoka kwa chanzo kilicho Karibu na uongozi wa CHADEMA, kinasema kuwa wakati Akina Mbowe na timu yake wanaenda ulaya kuomba Misaada walitafuta kitu ambacho wangekitumia kwa wafadhili wao kuhusu kuminywa kwa demokrasia Hapa nchini ndipo walipokubaliana na kamanda Ben Saanane kuwa ajifiche kwa Ahadi ya kulipwa pesa mpaka watakaporudi.

Tetesi Hizo zinadai baada ya Akina Mbowe kufika Ulaya hawakupta mafanikio kama walivyotarajia Matokeo yake waliporudi wakamtaka Ben ajitokeze lakini inasemekana kijana huyo akagoma akidai mpaka Mbowe atimize Ahadi yake.

Katika press conference ya Jana ya vijana wa Bavicha kupitia taasisi yao ya UTG Nilitegemea kusikia wakisema juhudi binafsi ya Chama kumtafuta Ben Saanane kupitia kitengo cha intelejesia ya Chama angalau kutupa Mwanga alipo Ben Saanane.

Tukumbuke Mbowe kwa kinywa chake Amewai kukaririwa akidai Ben Saanane katekwa lakini hawa vijana wa UTG wameshindwaje kukaa na mwenyekiti wao angalau awajibu maswali machache.

Ben alitekwa liini wapi na Akina Nani amewekwa wapi Nani aliyemwambia kuwa Ben katekwa na yeye amechukua hatua gani? Kwasababu Kama hao watu wanaweza kumwambia kutekwa kwa Ben Saanane vilevile lazima watamwambia alipo Ben na kisa Cha kutekwa.

Tukumbuke Ben Saanane ni katibu myeka wa Mkiti wa Taifa wa chadema mh Freeman Mbowe.

Inaaminika kuwa Ben Saanane ni moja wa vijana wa intelejesia ya chadema aliyepelekwa Israel na Chama kusomea ujasusi kwa mantiki hiyo kitengo cha intelejesia ya Chama kina taarifa gani kuhusu kupotea kwa mwenzao Ben Saanane na wamefanya juhudi Zipi kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane?

Lakini pia kwa busara ndogo UTG hawakupaswa kupuzia hata kidogo taarifa iliyowai kutolewa na gazeti la mwanahalisi kuwa Ben Saanane hajatekwa Bali amejificha mwenyewe kwa kusudi la kusaka madaraka ndani ya Chama.

Nadhani sasa muda wa muafaka kama kweli Mbowe alimuhaidi Ben Saanane pesa kufanikisha mkakati ya Misaada kwa jumuiya ya ulaya Basi amlipe ili wazazi wake watoke kwenye simanzi lakini Kama hatafanya ivyo Naona aibu kubwa itakuja kuwapata chadema very soon.

Tangu kamanda Ben Saanane apotee chadema wamekosa great thinker wa kuandaa operation.

Katika hili tuache siasa mwambieni mh Freeman Mbowe amlipe dogo Haki yake.

La sivyo atuambie Ben alitekwa na Akina Nani? Wapi kwa kosa gani? Aliambiwa na Akina Nani na alichukua hatua gani?

Kama kweli nyie ni kizazi Cha kuhoji muwafikishie viongozi wenu Pamoja na Akina Munisi, Mushi na wengine alipo Ben Saanane wasije wakamfanya kama Chacha Wangwe na Alphonse mawazo.

Na Frey Cosseny
Mi nahofu pia, huenda kuna siri, ambayo ikitoka itaangamiza uhuru na utu wa Ben Saa8, na nahofu huenda kuna kikundi cha watu, hususan, ndani ya "jumuiya anayojumuika nayo", imetumia siri hiyo, kupoka uhuru wa Saa8, kwa kumlazimisha, ama ajifiche, siri idumu, au ajitoe siri iwekwe wazi...
 
Upumbavu ni majaliwa.

Watekaji ni green guards ndani ya TISS chini ya komanda Bashite kwa maagizo ya Sizonje baada ya kuhojiwa elimu zao.

Sasa unataka wawaulize viongozi wasio hata na mgambo. Kama wamekutuma waambie HATUDANGANYIKI
 
Sasaacha mlango wazi kwakuwa ni jukumu la polisi kukulinda watakuja kukulinda maana mnadhani kulinda mtu na mali zake ni katika utaratibu wa kipuuzi kama mliotumia kuficha huyo muhuni mwenzenu eti muwape jukumu Polisi lala tu mlango wazi au mkeo atoroshwe na bwana mwingine kama wewe hujaripoti polisi wao wataota waje kukutafutia mkeo??? Tumia akili kufikiri na siyo Masaburi, Mbowe aliyekuwa anamtumia hajaenda kutoa taarifa polisi wewe Mmamalia unakomaa polisi wamtafute nani kakuambia Ben kapotea ???
Wewe mammalia ndio maana polisi wanapigwa za uso wananchi wakicheka mnaanza kulialia bila ya kujua sababu ndio hizi
 
Huu ndio uharamia wa chadema. Haujaanza leo wala jana
 
Attachments

  • tmp_10443-IMG-20170416-WA0044829043229.jpg
    tmp_10443-IMG-20170416-WA0044829043229.jpg
    39.6 KB · Views: 24
Tukio baya kabisa kuwahi kufanywa na magaidi wa chadema huko igunga tabora
 
Attachments

  • tmp_10443-IMG-20170416-WA0042-1665477002.jpg
    tmp_10443-IMG-20170416-WA0042-1665477002.jpg
    35.7 KB · Views: 26
Chadema ina laana. Inanuka damu za watz wasio na hatia
 
Attachments

  • tmp_10443-IMG-20170414-WA0000801429232.jpg
    tmp_10443-IMG-20170414-WA0000801429232.jpg
    54.1 KB · Views: 29
Maneno meeeengi lakini upeo wa kuelewa mdogo. Mbowe hawezi kukubali kuitwa kihuni hata kidogo. Nafasi yake sii ya kuamriwa na makonda kijinga namna ile.
Nadhani hujui nafasi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani ikoje!
Mkuu Mimi nadhani hujanielewa nilichosema hapo.
Hebu soma tena hiyo post vizuri.
 
K
Polisi wanaanzaje? wana report ben kapotea? nani alifungua jalada? wapi? askari mpelelezi ni nani? na majibu ya polisi ni yapi?

wazazi wa Ben wamesema polisi wametoa majibu gani? polisi wamemuhoji mbowe? wamemuhoji kubenea?

kwa nini wengi mmevutika na hili ambalo inaonekana wazi kuna gap sehemu fulani au habari ambayo ni hidden??

unaona presha ya mbowe iko sawa kabisa kumtafuta msaidizi wake? hauoni anajua yuko wapi?

Kwa akili yako ya kawaida tu ya Kibashite bashite unadhani hii kesi itakuwa haijaripotiwa polisi ??
 
Kwa uelewa wako mdogo, unadhani Bashite nia yake ilikuwa ni kupambana na madawa ya kulevya kweli ?

Kama ndivyo unavyoelewa, I suggest uanze kutafakari upya......

Na kwa kuanza kukusaidia ni kwamba, nia ya Bashite ilikuwa

1. Ni purely political affiliated, kutaka kupiga vichwa vya baadhi ya wanasiasa kwa lengo na nia ambayo hata Boss wake anayo na anaitekeleza.

Very unfortunately kwake, ni kuwa wapinzani na wajuvi zaidi wa siasa wakaing'amua na kumdhibiti vilivyo na sasa badala yake yeye ndiye anayepondwa pondwa na si muda mrefu ata surrender tu !!

Na unajua tena mtu anayejifanya mjanja, tumia ujanja wake huohuo kummaliza....

Sasa wewe unasema kwa nini Mbowe eti asingekubali tu kwenda kuhojiwa...!!

Loh, what à pathetic argument !!

Yaani wewe unatambua kabisa kuwa umewekewa tego na mchawi, badala kutegua mtego huo uendelee na safari yako, wewe unasema hewala, Mungu anajua acha nipite tu !!!??

Nini maana ya Mungu kukupa akili ya kutambua mema na mabaya ?

Mbowe is absolutely right kwenda kum - block huyu Bashite mahakamani ili njia sahihi za kufanya anayotaka kufanya zifuatwe and that's what happenned and Will continue to happen !!

2. Kutaka pesa na mali za wale anaowatuhumu kuwa wanahusika na biashara hiyo na ndivyo ilivyokuwa. Na hii kaifanya kwa kutumia vitisho vya madaraka yake, lakini hata huko wajanja wakamnasa na hilo hana jinsi, he has to pay dearly.....
Mkuu Mimi nadhani hujanielewa nilichosema hapo.
Hebu soma tena hiyo post vizuri.
 
Huna akili we we! Jambo liko polisi kisha unataka kitengo cha chama cha inteligensia kiendeshe uchunguzi? Kisha waambiwe wana ingilia uchunguzi wa polisi?
Siasa zenu za kijinga msiziingize kwenye uhai wa watu. Ben ni mtoto wa watu, baba wa mtoto na kaka wa watu. Kuna watu unawatia uchungu kwa upumbavu wako unaoandika hapa.
sasa kama jambo liko polisi CHADEMA mnapiga kelele ya nini huku, Ben anajulikana amefichwa na Mbowe na file lake polisi limeshafungwa
 
Kama nafsi yake imetwaliwa na kiumbe awaye yeyote naye ajue siku yake inakuja pia
 
Back
Top Bottom