Mheikungu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 214
- 448
Kwa muda sasa tumeshuhudia sarakasi na matamko mengi tangu serikali iamue kuingia kichwakichwa kwenye biashara ya korosho.
Matamko ya kila siku yenye kumkatisha tamaa mkulima. Hivi mnanunua korosho ama mnatathmini mashamba? Acheni kuwaumiza wakulima. Wakati mnanunua mahindi mwaka jana mlikagua mashamba? Acheni hizo banaaaa