Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!
Mambo ambayo yametokea na kusababishwa directly na Awamu ya nne japo kwa 75% ni:-
1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.
2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..
3. Nikumbusheni...
Mengine ni ya kurithi tu!!! sasa kwa kuwa yanatokea kipindi chake na watu ni wasahaulifu basi kila kitu kimetokea kutoka kwa Awamu ya nne...
Ukiniuliza naona awamu ya nne imesababisha watu(individual, taasis, NGOs) etc kuwa na huru kujadili mambo ya kitaifa na kwa uwazi zaidi hili ni jambo jema kwa serikali....
Awamu ya nne iliweka wazir marosoroso ya Auditor General reports kwa mahesabu ya serikali kwa ajili ya wananchi wafahamu na viongozi husika wafuatilie.
Jamaa wamebadilisha sheria ya rushwa,,, na sasa sio sheria ya bribery bali ya corruptions,,, hii imesababisha at least hata kwenye CCM watu wamekemewa au imeonekana sio jambo tena la kawaida...
Takrima is out!
Naomba kuendelea kuelemishwa maana nadhani kama ni Ben abebe mzigo wako na kama ni Jakaya pia abebe mzigo wake
Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!
Mambo ambayo yametokea na kusababishwa directly na Awamu ya nne japo kwa 75% ni:- mengine ni taarifa tunazozipata kwa kuwa watu wanakuwa huru zaidi, mfano wa mambo yaliyoongelewa kwenye maadhimisho ya nyerere watu wengi wamethubutu kuongea mambo ambayo walikuwa hawawezi,,,tena wengine wasomi wazuri sana....
1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.
2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..
3. Nikumbusheni...
Mengine ni ya kurithi tu!!! sasa kwa kuwa yanatokea kipindi chake na watu ni wasahaulifu basi kila kitu kimetokea kutoka kwa Awamu ya nne...
Ukiniuliza naona awamu ya nne imesababisha watu(individual, taasis, NGOs) etc kuwa na huru kujadili mambo ya kitaifa na kwa uwazi zaidi hili ni jambo jema kwa serikali....
Awamu ya nne iliweka wazir marosoroso ya Auditor General reports kwa mahesabu ya serikali kwa ajili ya wananchi wafahamu na viongozi husika wafuatilie.
Jamaa wamebadilisha sheria ya rushwa,,, na sasa sio sheria ya bribery bali ya corruptions,,, hii imesababisha at least hata kwenye CCM watu wamekemewa au imeonekana sio jambo tena la kawaida...
Takrima is out!
Naomba kuendelea kuelemishwa maana nadhani kama ni Ben abebe mzigo wako na kama ni Jakaya pia abebe mzigo wake!
Kilitime,
Tell me, you are not killing time here. ARE YOU?
HALISI,Mkuu wangu huyu JK ni kweli alidhani tutasahau kama yeye anavyosahau kila kukicha. Ndio maana majuzi katutia aibu eti ana sema HAJUI KWA NINI TZ NI MASIKINI? Aibu gani hii? Sijui sasa pale White house anafanya nini?au ndio yale ya kutunza njiwa?Unapozungumzia Mkataba wa Buzwagi hauna tatizo,bali tatizo ni sheria,hivi JK aliposema wanarekebisha kwanza ndio wasaini mikataba,aliteleza ulimi ama alijua TUTASAHAU?....
Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!
1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.
2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..
je, mikataba hiyo ihifadhiwe wapi ili isiendelee kuvuja? kwanini uvujaji wa nyaraka hizo umeongezeka? I think there is something wrong somewhere ingawa bado sijaweza kujua exactly tatizo liko wapi?
Kilitime umeanza kutia huruma sasa!
Pole sana ndugu yangu. I hope unapata kitu kidogo kwa utetezi wako maana wenzako wanakula mabilioni kwenye hii mikataba na sijui mwenzangu unapata nini?
Watu wanapokuwa 'fed up' wanaamua kusema liwalo na liwe, ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Kwa kibena wanasema 'Swela be'. Mtu akifikia hatua hiyo ya kukata tamaa huwa hatofautishi kufa na kuishi, huwa anakuwa kapoteza kila tumaini.
Huenda kuna jamaa wa mtandao ambao wamefanyiwa ndivyo sivyo, kwa hiyo ndio wanaovujisha mikataba hii.
Hebu tuambie JK tangu aingie madarakani kama sikosei kitu kikubwa alichofanya ni:
1. Kufukia kaburini miiko ya uongozi. (Hata BWM alitangaza mali zake na JK hakumwambia afanye hivyo alipoacha kuwa rais kwa nini? Alimwogopa? Hili lilikuwa jukumu la kwanza la JK lakini ameshindwa).
Kama JF ilivyo na utaalamu wa kupata data, tufanyieni mpango mkazilete kutoka Tume ya Maadili, hapo ndipo shares na vipande vya hisa anavyomiliki utavipata...2. Ameshindwa kuwaambia WTZ interests zake (pamoja na hisa alizonazo) kwenye makampuni makubwa ya kuchimba madini na pia kutangaza mali zake wakati wa kuingia madarakani.
Hii ni issue ya muda tu, kwa kweli mimi nasubiri baada ya audit kwa mfano ya BoT nione nini kinafuata!3. Ameshindwa kuilinda katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kuwaachia wanaovunja sheria wapete bila kuwajibishwa. Richmondulian, Dito, Wauza unga ambao majina yao yanaoza kwenye meza yake pale magogoni.
4. Ameshindwa kumwajibisha Balali na timu yake bila kusahau Buzwagi saga ambayo imeleta zomea zomea nchi nzima na hata mwenyewe alishindwa kwenda kwenye ule mgodi hadi alipopata ulinzi mkali kutoka kwa FFU na jeshi la wananchi siku ya pili yake.
Ameshindwa kujifunza makosa ya kuwapa management South Africans kuendesha TANESCO, AIR TANZANIA na sasa amewapa Canadians TTCL ambayo tayari inaleta wataalam wasiokuwa na viwango vinavyotambulika.
5. Ameshindwa kuwapa kazi WTZ kwa kazi ambazo sisi WTZ tuna uwezo nazo badala yake wanaajiriwa South Africans kwenye mahoteli pamoja na wageni lukuki ambao wameshehen katika kila sekta na kona ya miji yetu.
Kweli kaka, tatizo liko la muda mrefu, sasa hivi kwa taarifa yako hakuna suppliers au muuzaji yeyote anaweza kumlazimisha mtu kulipia dolar... remember wananchi wana-party yao ya ku-enforce tangazo la serikali...6. Tumekuwa watumia dollar, sasa shillingi iende kaburini n.k.
The litany goes on and on...............
Yapo ya rais kwenye hoja zako, lakini machache sana....mengi hayana tofauti na mtu ambaye amekaa kijiweni akihesabu siku na kuisubiri siku atakayona maisha bora hali yakuwa anacheza pool kuanzia saa tano asubuhi.Sasa kama rais aliyepo madarakani hawezi kubadili mambo kama haya maana yake ni nini hasa kuwa naye?
KWI KWI KWI,,, MWAFRIKA WA KIKE NIHURUMIE BASI;
Hii ni JF, umeruhusiwa kusema chochote mkuu. Ninarudia tu kusema kuwa ni matumaini yangu kuwa unavyotetea Buzwagi na Richmonduli utapata kidogo maana wenzako wamepata mabilioni hapo!
Kama huelewi kwa nini hakutangaza mali alipoondoka utaelewa vipi umuhimu wake?Kiltime said:Ben alivyotangaza alipoingia na kuacha kutangaza alivyotoka amekusaidia chochote?
Utakuwa ni mtu wa kwanza kuanza kwenda kwenye tume ya maadili kwani haya mambo huwa inabidi yawekwe kwenye public domain kwa viongozi wakuu bila hata ya kuyatafuta.Kiltime said:Hivi Unajua Viongozi wote wanataja mali zao kwenye tume ya maadili, nenda huko ukaulize kama hajafanya hivyo, nakumbuka swali kama hili na jibu lake, alijibu FTS.
Wewe ambaye unawajua hao tume ya maadili kwa nini huendi na kuweka hapa? Kwani umekuwa sio mwana JF tena? Tangu lini? Unaweza kupata kufahamu shares za watu bila kwenda huko kuna njia nyingi tu za kuweza kufahamu, sasa kama wewe hufahamu ni vizuri uulize uambiwe kuliko kubwabwaja hapa.Kiltime said:Kama JF ilivyo na utaalamu wa kupata data, tufanyieni mpango mkazilete kutoka Tume ya Maadili, hapo ndipo shares na vipande vya hisa anavyomiliki utavipata...
Issue ya muda wakati pesa ya walipa kodi zinapotea, Dito mnalaumu mahakama wakati serikali ndio wameshika mpini amekweli mwenye njaa hamjui mwenye shibe. JK mwenyewe ndiye aliyeomba majina au hufahamu hili? Swala la Magufuli naona huna data, tumeziomba hapa kama unazo leta zikamuliwe.Kiltime said:Hii ni issue ya muda tu, kwa kweli mimi nasubiri baada ya audit kwa mfano ya BoT nione nini kinafuata!
Issue ya Ditto, kama kuna issue wa kwanza wakulaumiwa ni mahakama ambayo hairipoti kwa raisi.
Wauza unga, utawala wa sheria siku zote ni kitu cha kukuambia usikurupuke... mfano unao wa kiwanja cha Mwanza na Magufuli... Ahsante
Kiltime said:Rais ambaye hakusanyi information za kutosha kabla ya kutoa maamuzi atakuwa mkurupukaji? Audit inapatikana ndani ya 2007, si ndio, i will better wait till then.
1. Ofisi ya rais, haiwezi kuwa na taasisi yake yenyewe ya kufanya hayo mambo yote ya makampuni, kuchambua, kushauri na kutekeleza!!!
2. TTCL inamilikuwa na shareholders wawili, sijui lakini nanusa harufu kwamba walifika mahali wakasema wanahitaji third party ku-run company,,, mchakato ulianza lini? sijui... what i know mtu hakurupuki tu, kuamua jambo,,, wenye information wanaweza kuleta hapa.
3. Wafanyakazi wenye kiwango cha chini cha Elimu kutoka nje?, du! nasikitika kama rais wa nchi atakuwa anaangali mpaka wafanyakazi wa makampuni hapo naona itakuwa hakuna utawala kabisa... the fact kwamba huyo mtaalamu anayelalamikiwa hajapata kibali mpaka leo... ni dalili za system kufanya kazi angalau slow... as usual ya watanzania...
Yeah, hili ndio tatizo la msingi la watanzania,,, president kwenda kwenye mahotel, kuangalia hili,,, nadhani elimu ya urai itakapokwenda chini na kufikia watu kama ninyi kujua kwamba tatizo kama hili responsible ni nani litasaidia sana... kuna kaugonjwa kwamba rais, anafanya kila kitu,,,
Yapo ya rais kwenye hoja zako, lakini machache sana....mengi hayana tofauti na mtu ambaye amekaa kijiweni akihesabu siku na kuisubiri siku atakayona maisha bora hali yakuwa anacheza pool kuanzia saa tano asubuhi.
Kuvuja huku kwa mikataba ni silaha nzuri kweli kwenye kupambana na huu ufisadi. Kama hao viongozi wengijua kwamba waliyoyafanya kwa kujificha yataanikwa barabarani kama inavyofanyika sasa, nina uhakika wangeweka umakini kwenye nini kinaamuliwa.
Bandugu,
Kuna habari zipo mtaani zinadai kuwa ni JK mwenyewe ndio aliingizwa mjini na Richmond na wala Msabaha hahusiki. Kuwa kununua kutoka kwa wale jamaa ilikuwa ni directive kutoka kwa JK mwenyewe!!
Kama kuna mwenye uhakika naomba amwage humu!!
FD
Mkuu uliandika haya tarehe 18 Dec 2006... Ukweli utaujua punde.
Stay tuned!