<br /><br />Serikali isipowashitaki hawa wafungwa wote nao warudishe walichoiba ili waachiwe huru.Hakuna aliye juu ya sheria,chondechonde viongozi msiivunje sheria ya nchi yetu.
<br />Leo nimeskia redioni nape anamtumia kijana flani jina limentoka kuwahafua mkapa na ra ili wasiende igunga,kumekucha
Hakuna atakae shitakiwa,Jk alisha sema wakirudisha pesa za epa watashitakiwa
na baada ya muda ilitamkwa wamerudisha pesa.
Je ukiiba alafu ukamatwe na useme upotayari kurudisha mahakama itakuachia huru?
Au hiyo inawafever wahindi tu?
<br />Sirikali ya KIPOPOMPOO KAZI TUNAYO. Bila kufanya maamuzi magumu tutaendelea kuumia. Tuandamane huyu jamaa amechokwa hata na usalama wake wenyewe wamemchoka.