Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,009
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya kukifuta chama cha cuf kwa kuwa kinachochea mgogoro na uvunjifu wa amani maeneo ya lindi na mtwara imetua kwa JOHN TENDWA kwa hatua zaidi'' na hii inathibitisha ndio maana raisi JK kasema hawataogopa hata kama anamapembe maana yake ni ''cuf wako kwenye ndoa na serikali ndio maana ya mapembe'' nawasilisha pale nikapoendelea kupata habari kutoka mnyetishaji