Sakata la gesi, CUF kufutwa endapo...

Sakata la gesi, CUF kufutwa endapo...

Pole sana kijana sijui ni mzee wewe?tuyaaache hayo naomba nikuulize maswali yangu matatu tu:
1.Aliyempiga Risasi Padre wa Katoliki Zanzibar amepatikana?
2.Aliyemuua Padre wa Katoliki kule Zanzibar amepatikana?
3.Alietupa bomu Kanisani la Katoliki Arusha nae amepatikana?

Ukipata majibu ya maswali hapo juu ndio utajua kuwa serikali uliyonayo inaweza kufanya kitu gani!
Pole sana Heavy equipment!
 
Hii ndoa ya mkeka kati ya CCM na CUF ndio kusema imefikia ukingoni??
 
Pole sana kijana sijui ni mzee wewe?tuyaaache hayo naomba nikuulize maswali yangu matatu tu:
1.Aliyempiga Risasi Padre wa Katoliki Zanzibar amepatikana?
2.Aliyemuua Padre wa Katoliki kule Zanzibar amepatikana?
3.Alietupa bomu Kanisani la Katoliki Arusha nae amepatikana?

Ukipata majibu ya maswali hapo juu ndio utajua kuwa serikali uliyonayo inaweza kufanya kitu gani!
Pole sana Heavy equipment!

vitu vya kinafiki hufanywa na watu ambao hawana utafiti na waliokaa kichochezi.
 
Hata wakikifungia sio mwisho wa kupaza sauti zetu wana mtwara. Nibola kubaki bila chama kuliko kuwa na hivyo vyama vyenu viwili (CCM na CDM)
 
vitu vya kinafiki hufanywa na watu ambao hawana utafiti na waliokaa kichochezi.
Lete majibu basi,sio kutoa mapovu na mate tu hapa,ukweli ndio huo,na jumatatu mtaibuka na kesi ya lwakatata ndio baaasi tena.wafu watazika wafu wenzao!
 
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya kukifuta chama cha cuf kwa kuwa kinachochea mgogoro na uvunjifu wa amani maeneo ya lindi na mtwara imetua kwa JOHN TENDWA kwa hatua zaidi'' na hii inathibitisha ndio maana raisi JK kasema hawataogopa hata kama anamapembe maana yake ni ''cuf wako kwenye ndoa na serikali ndio maana ya mapembe'' nawasilisha pale nikapoendelea kupata habari kutoka mnyetishaji

Kwani cuf bado ipo! Msajili huyu ni Majanga, akifuta tutasajili UAMSHO.
 
mwenye mapembe sio CUF, CUF ni dhaifu mno mjini mtr..sema jingine
 
Back
Top Bottom