chipaka.com JF-Expert Member Dec 5, 2015 2,883 1,188 Dec 24, 2016 #3 Ngoja pasi ifike kwa mkuu tuone itakuwaje,
famicho JF-Expert Member Jul 29, 2015 2,192 2,823 Dec 24, 2016 #4 chipaka.com said: Ngoja pasi ifike kwa mkuu tuone itakuwaje, Click to expand... Nahsi mpira atautoboa
chipaka.com said: Ngoja pasi ifike kwa mkuu tuone itakuwaje, Click to expand... Nahsi mpira atautoboa
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,145 Dec 24, 2016 #5 tena jamaa atabutua bila hata kutuliza...akiukosa mpira ujue mguu unachomoka sio mashuti hayo
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,556 9,531 Dec 24, 2016 #6 Majaa majaa majaa usitumbue mwenyewe nitupie krosi nikuonyeshe maufundi ya Ronaldinho Gaucho Majaliwa sijui nimpasie? Duh!
Majaa majaa majaa usitumbue mwenyewe nitupie krosi nikuonyeshe maufundi ya Ronaldinho Gaucho Majaliwa sijui nimpasie? Duh!
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,941 6,213 Dec 24, 2016 Thread starter #8 Tulimumu said: Mi naona ataupiga nje Click to expand... Hahaha ha haaa
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,941 6,213 Dec 24, 2016 Thread starter #9 Mgirik said: eti maja majaa .. Katuni Hizi Click to expand...
Se-ronga JF-Expert Member Jun 3, 2015 650 908 Dec 24, 2016 #10 Alivyo na hasira za kufunga anaweza akapiga shuti kubwa akapaisha. ..!
F Friction Force Member Nov 2, 2016 64 48 Dec 24, 2016 #11 Priiiiii!!weka mpira chini hiyo ni offside
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,634 7,413 Dec 24, 2016 #12 Yangu macho/masikio baada ya dk 90 za mchezo. kama hautaenda kwenye matuta
Cham Bee JF-Expert Member Feb 10, 2015 3,516 1,854 Dec 24, 2016 #13 Majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Funga mwenyeweeee kama wewe ni Fundi kweli.
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,639 61,068 Dec 24, 2016 #15 Mmaliziaji pia ndio refa wa kuamua kama ni goli au laa!
kilalile JF-Expert Member Jun 4, 2012 1,595 2,205 Dec 24, 2016 #16 Mechi gani haina wapinzani hiyo? Wote wapo offside. Hata akifunga, sio goli.
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,941 6,213 Dec 24, 2016 Thread starter #18 Friction Force said: Priiiiii!!weka mpira chini hiyo ni offside Click to expand... Goal keeper sijui ni nani hapo
Friction Force said: Priiiiii!!weka mpira chini hiyo ni offside Click to expand... Goal keeper sijui ni nani hapo
amringisi Member Dec 18, 2016 24 21 Dec 24, 2016 #19 Siampe tuone nakama akifunga minakunya mavi sokoni kaliakoo mchana kweupe
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,556 9,531 Dec 24, 2016 #20 Anawza akapiga shuti likachana nyavu mpaka viti vitavunjwa