Sakata la Faru John, Nipasie nimalizie

Siampe tuone
f928f33dc6dcf0d17d9d4da1090cd73c.jpg
Hajaribiwi...nmweako
 
Mbona kuna watu wengi sana nchi hii wanateseka na wengine kufa sababu ya njaa,magonjwa,na maonezi mbalimbali,lakini hawaundiwi tume wala nn!!!!!!nimegundua kumbe wanyama wanapendwa sana na serikali kuliko watu!!!!!inatakiwa waanze nao kupiga kura!!!!!!!!
 
Mchochezi nambari one
 
alifanya makosa makubwa sana kumteua yule jamaa kwenye ile wizara. hakuna wizara huwa anafanya vizuri. maji aliwaboa watu hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom