Sakata la Escrow: limekosa mashiko tena!!

Andreakalima,hvi unaakili timamu? Kumtetea pinda!!!? Hili linatofauti ipi na la Richmond,?
 
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Kweli mkuu
 
Andreakalima,hvi unaakili timamu? Kumtetea pinda!!!? Hili linatofauti ipi na la Richmond,?

[h=3]MWENYEKITI CCM KILOLO AWATAKA WANAOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WAJIUZULU[/h] Posted by GLOBAL on November 27, 2014 at 5:30pm 0 Comments 0 Likes
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo Seth Moto akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Iringa, Seth Moto, amewataka wanaohusika na sakata la Escrow aidha kwa kutajwa au kuchota fedha za akatunti hiyo wajitathmini na kijivua nyadhifa zao mapema wasisubiri kuondolewa au kufukuzwa na sheria na warudishe fedha zilizoibiwa.
Pia ametaka sheria ichukue mkondo wake kwani wananchi wamechoshwa na wizi huo unaofanya maisha yao kuwa magumu.
Pia Moto alishutumu tabia ya viongozi kujilimbikizia madaraka kama vile ubunge, uenyekiti wa wilaya na mkoa na ujumbe wa mikutano ya CCM.
(Picha: Shani…

(Picha: Shani Ramadhani/Gpl)
 
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Akili kama hz ni hatari hata kuongoza familia.
 
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Mkuu,
Ukiangalia mgawanyo wa wajumbe wa PAC,ni wajumbe watano tu(5) ndio wanatoka upinzani na wajumbe takrinani kumi na nane wanatoka CCM!
Kwa hiyo kulihusisha hili na chama cha upinzani sio tu ni ujinga,inaweza ikawa ni wendawazimu!!!

Kwa hili ningependa niwapongeze wajumbe wa CCM japokuwa wamechelewa sana ,angalau sasa wameonyesha utanzania wao! hata kama baadhi ya watu wanaweza wakasema wameona uchaguzi umekaribia!!

Nakusihi kutokuingiza ushabiki wa vyama katika masuala makubwa namna hii yanayohitaji umoja wa kitaifa!
 
Wakina lusinde wapo wengi!!!!! Wish watanzania wangewaelewa tu ...puuuuu
 
Tetea hao wezi..na sisi huku tulipo hatuachi kuiba...uone km hutoumia mwehu wewe
 
jamani huu ubadhilifu haupo kivyama mbona Dana ccm wengi sana kuliko vyama punzani... 19+5 ...yaan mtoa nimrkupa sonyooooo hlo name binge la mtusii nimeogopa kutype viz sijawah kupigwa ban toka nijiunge jf...we endelea
 
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Eh! Kumbe Lucinde na huku bado ni comedy kama kawa!
 
yaani kuna mbunge mmoja kaharisha kwa kupitia mdomoni sikutegemea
Huyo si mwingine, ni Mariam Kisangi, CCM, hajui hata kinajadiliwa nini, hata CCM wenzake wanamshangaa, kilaza+++, mwalime wa upe, mala aseme PAC ni chama cha upinzani, atakuwa demu wa komba huyu, kalewa viroba chako ni chako kaja kuharisha bungeni.Hao ni 99% ya wabunge wa CCM. PIC ina wabunge 24, 19 CCM only 5 ni upinzani. Kwa maana hiyo, Kawatukana wabunge wa CCM waliokuwa kwenye PAC kuwa ni mambumbumbu yaliyokuwa yakiburutwa na watu wa-5 tu! Shame on her, wanajimbo wake mmemuona? Hata kama ni viti maalum, anakontaminate CCM. Ma.v.ii yake.
 
Headless country, mkaibee uchinani muoneee, baba zenu watanunua risasi za kuwachapia
 
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Ulaaniwe...wewe na vizazi vyako vinne kutoka sasa...viishi kwenye maisha magumu..baada ya kifo chako
Amen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom