Hilo Gazeti la Mwananchi ntalifuatilia ni la lini? na kura mbona hatukupiga. Lawana ni nyie msiotaka kuchukua hatua na kuzungumzia chinichini hamuoni huko Misri? Nimeshasema Dowans wasilipwe, km ni RA nani asiyejua alizichota BOT ya Balali wakati wa awamu ya 3 akiwa Mweka Hazina wa Chama tawala? JK alikuwa Wizara ya nje. Hela zikaliwa na wengi wakati wa Kampeni (Kagoda, EPA, Richmond Dowans nk) na hata leo wanazisubiri asilaumiwe mmoja