EtiKwa hiyo hakuwa anahusika na drugs Bali issue ni Coco Beach?
na furushi la kagoda aliamua kujitwisha.Dah
Jamaa amekubali kinafiki tu kisa hawezi kupambana na dola
Huyu kiazi akito tu poa. Watu wanaliamsha dude upyaaaa kabisaWatu wana hibernate after 10years dude linahamshwa upya!
Hatimae lile sekeseke la Coco Beach limefikia mwisho baada ya Manji kusalimu amri kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa leo tarehe 24-June-2017 kwenye Gazeti la Mwananchi. Hapa chini kwenye screenshot ni taarifa hiyo ya Manji. Hakika katika utawala huu wa JPM matumizi ya pesa/rushwa havina nafasi.
View attachment 529770