Sakata la Bomu Arusha: FBI watua nchini, EU wadai Udini ni chanzo, ukomeshwe

Uchunguzi wa kina ufanyika jamani, hii ni hatari sana. Somehow FBI wanaaminika ila report isipewe Serikali maana wataichakachua

acha kukaa unalaumu serikali bila kuwa na sababu za msingi unakaa na kulala na mkeo usiku kucha unakoroma hata hujui kinachoendelea.
 
hivi tumeingia mkataba na federal agents au ni u------- wetu ndo unatuponza?? Huwa nachukia sana kusikia hii kitu fbi wamekuja kufanya kazi ambayo kuna watu wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo....
 
Hipo ck mkristu atachoka kuonewa ndipo tutakumbuka ule usem usemao 'lisemwalo lipo na kama halipo bas li njin linasogea'

hawa watu ni wavumilivu sana, wanyenyekevu, sio wabaguzi, wanahuruma, waadilifu na niwatu wanaomjua Mungu. Mungu awalinde na awaepushe na huyu adui shetani anayewafuatilia kila kukicha.
 
Mkanda wa lwakatare uchunguzwe na FBI kwasababu raia na serikali inaimani na FBI kuliko POLISI-CCM............
 
Mkuu sio aibu kwani uwezo wa Polisi wetu kuchunguza mambo kama haya unaathiriwa na akina Nape na hivyo kuharibu uchunguzi. FBI wako neutral na wanafanya kazi ili kufanya dunia mahala salama kuishi.

Jeshi letu la polisi halina vifaa jamani hiyo iko very clear

Mkuu maelezeo uliyotoa ndio aibu yenyewe! Itabidi watusaidie hadi kukamata wale vibaka wakwapuaji wa pochi na mabegi ya lap top maeneo ya posta.
 
FBI wa nini tena lakini?

Hivi sisi ni hatuwezi kabisa kufanya uchunguzi sisi wenyewe na kumkamata au kukamata waliohusika na uhalifu huo?

Tuko wa ajabu sana sisi.

WAchunguzi wetu kazi yao iliyobaki ni kuidhibiti chadema na si vinginevyo. The so called "usalama wa taifa" ulishajifia siku nyingi
 
Ccm walianzisha udini ili washinde uchaguzi wa 2010 wakijua baada ya kutumia turufu hyo wataimaliza kirahsi sasa ndo inaiharibia serikali yao

acha mawazo ya kitoto!mwanzilish wa udini ni nyerere sio kikwete
 
FBI wa nini tena lakini?

Hivi sisi ni hatuwezi kabisa kufanya uchunguzi sisi wenyewe na kumkamata au kukamata waliohusika na uhalifu huo?

Tuko wa ajabu sana sisi.

We unadhani jeshi la polisi Tanzania litaweza kufanya nini? tangu haya machafuko yameanza wamemkata nani?
 
Tamko la Serikali
Waziri Nchimbi alitoa onyo kali kwa wanasiasa wanaopandikiza chuki za kidini miongoni mwa Watanzania na kuishutumu Serikali kutokana na matukio kama hayo. “Kuna wanasiasa ambao wanaona masilahi yao ni muhimu kuliko maisha ya Watanzania, masilahi yao ni muhimu kuliko utulivu wa Watanzania na masilahi yao ni muhimu kuliko umoja wa Watanzania.”

Nchimbi naona na hapa unatafuta pa ku-divert mawazo ya watu kama ulivyofanya baada ya kujeruhiwa kibanda, unataka kuziba watu midomo....



 
Hv radio Imamu ilishafungiwa au bado? Hii redio ndiyo mwanzilishi mkubwa wa uchochezi na waasisi wa misamiati ya Mfumo Kristo. Kama serikali itaendelea kuzuga na kuruka chanzo na kutibu dalili ni dhahiri 2015 kura zitapigwa kwa misingi ya dini. Bungeni jana ni wabunge wakristo tu ndo walikuwa wanalaani kwa uchungu tukio hilo huku wabunge wengi wa Kiislamu kubakia neutral.

nikweli unayosema, tusipo kuwa makini huko tunapoelekea tutachagua viongozi kwa kuangalia dini kwazababu mpaka sasa kunavichocheo mbalimbali vya udini vinatendeka na kuendelea kupandikiza chuki zaidi zidi ya wanaotendewa huku viongozi wa siasa hususan dini pinzani kutokuonyesha mapokeo ya kusikitishwa kwa majanga wanayofanywa na waislam dhidi ya wakristo.
 
Hao FBI nao waangaliwe kwa umakini sana,Tembo wetu na wanyama wetu wasije wakapakiwa kwenye MADEGE yao..!!
Polen sana wahanga wananchi wenzangu...


Inaweza ikawa tunampa kazi Nyani ya kulinda shamba la mahindi Au tunampa hela Osama aitokomeze Alqaeda wakati yeye ndiye mtendaji mkuu.

Hili tukio ni pasua kichwa sana, sina ushahidi lakini binafsi naamini there is external influences on this maana wameshagundua weak point ya Tanzania ni dini.
 
Back
Top Bottom