Sakata la Bobi Wine: Wakili maarufu Uganda, Male Mabirizi amemfikisha Mwanasheria Mkuu kwenye Mahakama ya Kikatiba

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wakili maarufu Uganda, Male Mabirizi amemfikisha Mwanasheria Mkuu kwenye Mahakama ya Kikatiba, kuhusu Mbunge @HEBobiwine kushitakiwa Mahakama ya Kijeshi badala ya ile ya Kiraia. Pia amefungua Kesi ya Katiba kwa andiko la kurasa 30696, kupinga kufutwa ukomo umri wa kugombea Urais.

Source : Swahili times
IMG-20180821-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom