Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

That is business my friend
 
kumbe Lowassa hakuwa fisadi maana kwenye mauchafu yote hajatajwa hata kidogo
Huyo alikuwa kama flash msg
Ukiisoma tu ndo mwisho huwezi irudia.......inafutika
Ndivyo alivyokua akitengeneza mipango ikaiva humpati tena
 
Wimbo unaosema CCM ni ile ile hii ndio maan yake, kwa mambo yote ya kijinga ya kulitia hasara taifa hili Baba Jesca hawez kupona na wapuuzi wenzake ndani ya CCM, sheni CCM na anaeufagilia CCM ni Msenge wa kutupwa
 
Nilitegemea sana kuona sisi wananchi tukimsapot rais wetu maana anagusa sehemu ambazo zilikuwa haziwezi kuguswa.hakika mimi napongeza sana JPM kwa ushujaa wa pekee hakika anastahili kupongezwa na kupewa all support
 
Nyumba za serikali zilizouzwa nazo zichunguzwe

Mv DSm kambi ya upinzani walisema ufujaji ufisadi walibenzwa na ushahidi walitoa wakasema boat si jipya na gharama ni kubwa iliyotumika wakati mzee Bakressa Azam ni bei ndogo na safi. Je leo boat ipo wapi?

Nissan jeupe lileeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…