Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

Mo Ibrahim, Chui aliyevaa ngozi ya Kondoo! Mijizi na mikwapuaji lazima ijifanye iko kwenye dini sana au kutoa misaada sana! Kama EU na USA! Wanajifanya wanatupa misaada ya kufa mtu, kumbe wanachukuwa zaidi ya mara kumi ya wanacholeta!
Wakatili sana hawa...
That is business my friend
 
kumbe Lowassa hakuwa fisadi maana kwenye mauchafu yote hajatajwa hata kidogo
Huyo alikuwa kama flash msg
Ukiisoma tu ndo mwisho huwezi irudia.......inafutika
Ndivyo alivyokua akitengeneza mipango ikaiva humpati tena
 
Wimbo unaosema CCM ni ile ile hii ndio maan yake, kwa mambo yote ya kijinga ya kulitia hasara taifa hili Baba Jesca hawez kupona na wapuuzi wenzake ndani ya CCM, sheni CCM na anaeufagilia CCM ni Msenge wa kutupwa
 
Jana Rais wa JMT mhe.. JPM amepigiilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bharti Airtel kwa kumwagiiza Waziri wa Fedha kufanya uchunguzi uhamishaji wa hovyo wa hisa za TTCL toka Cellnet, Celtel, Zain na sasa Airtel!!!

Ufisadi huu ulifanyika chini ya Utawala wa A3 ya Mzee Mkapa akisaidiana na Waziri wa Mawasiliano waktii huo Mzee Mark Mwandosya,, Mwanasheria Mkuu Chenge na Jaji Warioba aliyekuwa Board Member akiiwakilish upande wa TTCL na Serikali......?!!!

Karibu tujadiili!
Nilitegemea sana kuona sisi wananchi tukimsapot rais wetu maana anagusa sehemu ambazo zilikuwa haziwezi kuguswa.hakika mimi napongeza sana JPM kwa ushujaa wa pekee hakika anastahili kupongezwa na kupewa all support
 
Nyumba za serikali zilizouzwa nazo zichunguzwe

Mv DSm kambi ya upinzani walisema ufujaji ufisadi walibenzwa na ushahidi walitoa wakasema boat si jipya na gharama ni kubwa iliyotumika wakati mzee Bakressa Azam ni bei ndogo na safi. Je leo boat ipo wapi?

Nissan jeupe lileeeeeeeeee
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom