wakimaliza kuchukua gesi wanamuijia mkeoumefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
kumbe umewarahisishia kazi.......!watakubeba wewe mwenyeweMimi sio Mwanaume hivyo sina mke!
tena itabidi waanze na wewe maana panya hawana faida kwaoMimi sio Panya kama hao Jamaa!
Bora yao hao unaodhan kuwa wameshikiwa akili kuliko wewe unayetulia ukidhani kuwa mawazo ya viongozi wako ni sahihi kusaini mikataba na kuifungia kwenye makabati yao.wakati mwingine bora kuadabisha kwa viboko tu! pengine itasaidia wale wanaoshikiwa akili zao na watu wengine wanaweza kuzinduka viboko vikikolea na itakua funzo kwa baadae!
:clap2:Wananchi wamekuwa PANYA ila 2015 mtawaita GOLD maana ndo watakuwa vipusa
Mimi sio Mwanaume hivyo sina mke!
Majitu shule hayajaenda yanataka gesi sijui yanafikiri nini hata matumizi hawajui
Kijakazi kutumia vyombo vya dola hakuisaidii Serkali kutatua mgogoro uliopo,lakini tukumbuke kuwa hivi vyombo vya dola tunavyoviongelea ni watu na wana ndugu zao na watu hawa hawa wanaishi sehemu moja na wananchi wa kawaida hivyo vyovyote itakavyokuwa hakuna atakayekuwa mshindi bali wote tutakuwa tumeshindwa.umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all the doubt...... By Mark Twin.. Yaani umeniondolea mashaka yangu yote juu yako kwenye uelewa wako, mtazamo wako juu ya nafsi za wengine, etc etcumefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
Ngalikihinja umeniudhi kutumia lugha nzuri kwa mtu kama huyu (close ur mounth) nadhani neno shut-up ulilisahau