NGASSIWA MTOTO
Member
- May 7, 2014
- 23
- 2
Habari wadau,jamani mwenye tetesi juu ya hiyo sector tajwa hapo juu,naomba anijuze ni lin watatoa majina
Kuanzia kesho ukae mkao wa kucheka/malizia mwenyewe.........
Habari wadau,jamani mwenye tetesi juu ya hiyo sector tajwa hapo juu,naomba anijuze ni lin watatoa majina
Hivi vi kampuni vingine vingeunganishwa na majeshi yanayotambulika kikatiba kwa kuviita vikundi hivi 'majeshi' ni kuchafua taswira nzima ya majeshi, mfano hawa zimamoto hawana sheria yoyote inayowatambua kama jeshi! Lakini wanajipachika vyeo vya non commisioned officers NCO's wa jeshi mfano sgt,cpl, Huu ni ubabaishaji
aji
Pia mkuu nisheria ipi inayo sema kwamba hawa zimamoto wa wizara ya mambo ya ndani ni tawi au kitengo cha jwtz? Labda hiyo sheria itungwe sasa hivi!