Ndugu CTU, nashukuru kwa udadisi wako.Sisi si Brela bali ni mawakala.Wala katika andiko langu sijasema sisi tunasajili.Kwa ufafanuzi zaidi, ukitaka kusajili kampuni kuna vitu vinahitajika ikiwa ni pamoja na Articles of Association, Memorandam na kujaza makabrasha kibao ambayo mengine yanahitaji utaalamu wa kisheria na biashara.Mara zote, makampuni ya uwakala yankuwa LINK kati ya service providers na clients.Kwa muktadha wa Bongo yawezekana husielewe ninachokisema, lakini as we advance more in business hivi vitu vitakuwa common kwa mazingira yetu.Afterall, wengi wamenufaika na huduma zetu na wanaendelea vizur na biashara zao.Badala ya mtu kutumia siku nyingi akiangaika na kurudishwa akaweke sawa hiki na kile, tunamkamilishia mahitaji na kupeleka documents zote Brela, within 7 days mtu anapata Cheti cha usajili bila hata kulazimika kusafiri hadi Dar kwa wale walioko mikoani