saidia ku unlock e173 safaricom modem

hizi ni kama modem za tigo tu. inawezekana kufanya temporary unlocking bas. sijaona permanet way mpaka sasa. ukiipata nami nipe hiyo njia.
seach jinsi ya kunlock e153 basi ndio sawa na hiyo
 
tafuta uzi wa gkiwango...mi nimeunlock modem zaidi ya tatu E173 za Airtel..permanently
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom