Okol36
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,565
- 779
Hamad alialikwa harusini, Usafiri wake ni Baiskeli. Wakati anaikagua akakuta ina pancha, akamwambia mkewe atangulie kwa miguu yeye azibe pancha, mke akiwa njiani akaingia kichakani kukojoa, kumbe nyuma ya kichaka kuna jamaa naye anakojoa, wakati Hamad anafika Eneo lile akamwona mke wake anapandisha chupi, na jamaa anatokea anafunga zipu!! Hem Mpe ushauri Hamad upesi ili ndoa yao isivunjike, utamshaur nini.