figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
kwanin wasimsapoti mtu wa kwao bukoba?Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Na yeye alisema kwenye interview kuwa Muta alimtafuta akamwambia Diamond anataka kutumia kazi yke. .Nadhani saida anajitekenya...huu wimbo haki zake anazo Felician Mutta kwa maelezo ambayo nlisikia yakitolewa awali
NA WAO wamvuneeeee waishie kumpangia nyumba upande na gari huku kadi wanayo wenyewe!Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Na ukizingatia ni omwami, atafanikiwaKwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Wakati huohuo Ruge na Saida wote ni waituNa ukizingatia ni omwami, atafanikiwa