Saida Karoli: Waliorudia wimbo wa Chambua kama karanga hawajanipa chochote

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,482
54,837
Saida Karoli: Sijawahi kupokea fedha yoyote toka kwa wasanii waliorudia wimbo wa 'Chambua Kama Karanga".
39e2efbbfaa382dbab28cd250c8889d7.jpg
 
Nadhani saida anajitekenya...huu wimbo haki zake anazo Felician Mutta kwa maelezo ambayo nlisikia yakitolewa awali
 
Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
 
Nadhani saida anajitekenya...huu wimbo haki zake anazo Felician Mutta kwa maelezo ambayo nlisikia yakitolewa awali
Na yeye alisema kwenye interview kuwa Muta alimtafuta akamwambia Diamond anataka kutumia kazi yke. .

Muta ndio mmiliki wa kazi za Saida kwa hiyo alichofanya ni kumtaarifu na Saida akabless ila Muta hakumuambia kuhusu malipo yeyote na wala hakumpa Diamond chance kuongea na Saida directly. .

Kufika mjini ndio anakuja sikia habari kuwa kulikuwa na malipo. . Sema alipuuza coz yeye alikubali bila kuhitaji chochote in return. .

She is very wise. . Angekuwa na elimu huyu mama angekuwa mbali. . Watangazaji walikuwa wanajaribu kumchokonoa aseme Muta alimzingua but she kept answering their questions very technically and loved every bit of it. .
 
Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
NA WAO wamvuneeeee waishie kumpangia nyumba upande na gari huku kadi wanayo wenyewe!
 
Kwa nguvu ya Clouds Fm Saida Karol atang'aa.hivi sasa wanafanya promo ya shoo itakayofanyika kuadhimisha miaka 15 kwenye mziki.nani asiyejua nguvu ya mawingu FM?. Shoo zinaanza kumwangukia Saida.
Na ukizingatia ni omwami, atafanikiwa
 
Akaongee na mameneja wake tulioeaona kwa mfano Diamond wakipokea bahasha na kukubaliana kwenye kideo. Wengine sijui
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom