PostGE2025 Said Mohamed: CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu imejikwamisha kisiasa, viongozi waliokuwa na ndoto na matarajio wameondoka kwenye chama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama kiweze kujipima lazima kishiriki chaguzi, ameongeza kuwa hali hiyo imepelekea viongo wengi waliokuwa na ndoto na matarajio waondoke kwenye chama.

Pia soma Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar
 
View attachment 3552819

ukweli mtupu 100%
 
Huyu mjinga ni uchaguzi gani huo anaouongelea?

Yale mauaji ndio anaita uchaguzi?

Anafahamu ukweli CHADEMA kutokushiriki ule upuuzi ndio imejijenga kisiasa kuliko ingeshiriki na ndio maana hata walizoziita kampeni zilikua hazina mvuto na hiyo waliyoita siku ya kupiga kura iligeuka siku ya mauaji .
 
IMG20251216100310.jpg
Chadema wajinga sana. Ona sasa, kutoshiriki kwao kukafanya hadi mabango ya kampeni yaandikwe 98% tu, wakati kama wangeshiriki yangeandikwa labda 100%.
 
View attachment 3552819

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama kiweze kujipima lazima kishiriki chaguzi, ameongeza kuwa hali hiyo imepelekea viongo wengi waliokuwa na ndoto na matarajio waondoke kwenye chama.

Pia soma Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar
Said Mohammed ni
Screenshot_20260217-182818~2.png
 
Mpumbavu na punguani mkubwa.
 
Huyu mjinga ni uchaguzi gani huo anaouongelea?

Yale mauaji ndio anaita uchaguzi?

Anafahamu ukweli CHADEMA kutokushiriki ule upuuzi ndio imejijenga kisiasa kuliko ingeshiriki na ndio maana hata walizoziita kampeni zilikua hazina mvuto na hiyo waliyoita siku ya kupiga kura iligeuka siku ya mauaji .
Wanajitokeza kucheza mindgames ili kuhadaa umma kuwa cdm wamepoteza kwa kutoshiriki ule uhuni uitwao uchaguzi. Hao walioondoka ni wale walioenda Chauma na hawana impact yoyote. Anataka kuhalalisha dhambi yao waliyoitendea cdm, na kuficha aibu ya ccm na serekali kukosa uhalali wa umma baada ya cdm kutoshiriki uchaguzi.

Anadhani akipotosha ndio watu wataamini kuwa cdm ilipoteza kwa kutoshiriki ule uhuni. Yaani nimejua ni kwa kiwango gani cdm ya Mbowe ilikuwa imejaa mapandikizi kama huyu na akina Yericko Nyerere
 
Kumbe chadema ilikua Ina majitu majinga kiasi hiki.aisee watu aina ya huyu kwa siasa za ccm chadema wasitegemee kushika madaraka
Ulichelewa kujua tu.
Wanasiasa kuwepo upinzani haimaanishi wao wana ambitions na interest za waliopo CCM.. Sometimes ni mkakati tu ndio maana umeona pesa na power vilipoingia, wakajitenga kwa sababu hicho ndicho wanakitafuta siku zote pasipo kujali ni nani ataumia in the process.

Kwa hiyo hata upinzani, kuna wema na waovu tu kama ilivyo kwa chala tawala
 
View attachment 3552819

Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama kiweze kujipima lazima kishiriki chaguzi, ameongeza kuwa hali hiyo imepelekea viongo wengi waliokuwa na ndoto na matarajio waondoke kwenye chama.

Pia soma Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar
Ni hivi tu umemaliza kuandika yote au bado unaendelea....?

By the way, fahamu haya:

1. Said Issa Mohammed sio kiongozi (makamu mwenyekiti) mstaafu wa CHADEMA kwa kuwa hakuwahi kustaafu bali alishindwa kwenye uchaguzi huru, wa haki na wa wazi kabisa. Kwa hiyo status ya huyo Saidi Issa Mohammed ni "aliyeshindwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.."

2. Viongozi wastaafu (yaani wale walioacha kuwa viongozi rasmi wa CHADEMA) kwa utashi na hiari yao, sio wajinga, wapumbavu, wenye chuki na roho mbaya ya kutaka kuharibu au kukivuruga CHADEMA kama alivyo Said Issa Mohammed na wenzake. Hawa wamejaa tamaa ya uchu wa madaraka wa kutaka "wawe wao tu". Na kwa kuyakosa, kwa tamaa zao hizohizo, maadui na wapinzani wa CHADEMA wakaiona hiyo fursa ya udhaifu wao na hivyo wakajiuza na kuuza utu na heshima yao wenyewe kwa shekeli (hongo) kwa maadui wa CHADEMA ili watumike kama rungu la kujaribu kuiponda CHADEMA na kuisambaratisha. Lakini Mungu wa mbinguni sio Said Issa Mohamedi wala Anna Komu kwamba wanaweza kumhonga ili abariki ushenzi wa uovu wao. WAMESHINDWA NA WATASHINDWA TENA NA TENA...!!

3. Hakukuwa na uchaguzi 2025 bali kulikuwa na uchafu na mauaji ya halaiki ili Samia na wauaji wenzake wajitangaze washindi...!

4. Na mwisho, hakuna kipimo cha chama cha siasa kujipima kwa kutumia aina ya uchafu unaoitwa uchaguzi wa 2025. Hata hao waliokimbilia vyama vingine, chini ya mfumo wa kisheria na kikanuni wa uchaguzi walioushiriki walipata nini? Sio kwamba hata hawajui walipata kura ngapi japo walikuwa wagombea...?

5. MWISHO KABISA: Mlipaswa kuelewa slogan ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ilikuwa na maana gani. Huwezi kushiriki kula mavi au kinyesi halafu baadae ulalamike unaumwa tumbo la kuhara - kipindupindu. Wewe utakuwa mjinpga bila shaka. Ndivyo walivyokuwa wale G55 ambao hawakuyaona matatizo ya mfumo wa chaguzi zetu ili washiriki kwanza kushinikiza marekebisho ya kisheria, kikanuni na kikatiba ili kutengeneza uwanja sawa wa uchaguzi kwa kila washiriki/wagombea. Lakini wao kwa ujinga wao wakajipeleka wenyewe machinjioni na wamechinjwa kwelikweli...!!
 
Walioshiriki wenyewe wanatamani wasingeshiriki.😁

BTW:Je ndoto zimetimia kwa hao waliohama CDM na kugombea ubwabwani?
 
Wanajitokeza kucheza mindgames ili kuhadaa umma kuwa cdm wamepoteza kwa kutoshiriki ule uhuni uitwao uchaguzi. Hao walioondoka ni wale walioenda Chauma na hawana impact yoyote. Anataka kuhalalisha dhambi yao waliyoitendea cdm, na kuficha aibu ya ccm na serekali kukosa uhalali wa umma baada ya cdm kutoshiriki uchaguzi.

Anadhani akipotosha ndio watu wataamini kuwa cdm ilipoteza kwa kutoshiriki ule uhuni. Yaani nimejua ni kwa kiwango gani cdm ya Mbowe ilikuwa imejaa mapandikizi kama huyu na akina Yericko Nyerere
CHADEMA kutoshiriki ule upuuzi kumeijengea imani kwa wananchi maana wamejitenga na uchafu wa CCM na matawi yake kama akina CHAUMMA
 
Back
Top Bottom