Said Kubenea yuko wapi sasa?

Said Kubenea yuko wapi sasa?

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
252
Reaction score
145
Wadau ni siku nyingi sijasikia kuhusu mpambanaji Kubenea. Mwenye kujua sababu za ukimya huu, pls atujuze, yupo nchini au yuko wapi?
 
Nenda mwabepande unaweza ukakuta hata kucha zake
 
yupo na mpira pesa anapambana na aden rage nenda pale utamkuta au kndon studio au vijana
 
yupo na mpira pesa anapambana na aden rage nenda pale utamkuta au kndon studio au vijana

Hahahahaa mpira pesa kijiwe chetu mkuu my web , baada ya katiba ya simba kubadilishwa na kuongeza qualifications za mtu kuwa mwenyekiti wa simba at least awe na elimu ya kwanzia form four.. Hassan DALALI sasa hivi anasoma QT.
 
Last edited by a moderator:
Amepata kazi ya u-messanger pale CDM makao makuu, nimemuona jana!
 
Anamiliki car wash pale karibu na Rose Garden. Kaamua kuwa mjasiriamali.
 
Nimemuona jana wakati wanahabari walipopeleka maoni yao
kwenye tume ya katiba, sijajua anafanya nini kwa sasa...
 
Huyu ni mtu mzalendo kwa hakika

6gates acha utani hivi h,dalali alipigwa chin na pepa la std 7 au form two au tatizo madrasa.kubenea aende huko si tenga anasepa wasije wakammwangosi vijana wa mwema akizingua tena
 
6gates acha utani hivi h,dalali alipigwa chin na pepa la std 7 au form two au tatizo madrasa.kubenea aende huko si tenga anasepa wasije wakammwangosi vijana wa mwema akizingua tena

Hahahaa hapo kwenye "madrasa" (sitapazungumzia).. Nachofaamu hasan dalali ameishia la saba! Ila kwa sasa anajiendeleza amalize form four..
 
6gates.hiv kigezo kikuu kwenye tff.bmt.drfa na vilabu vikuu ni o'level tu nilisikia ya baresa ndio maana tunavulunda.kwa nn dr slaa au prof lipumba wasitimkie huko coz wanalingana lingana na tenga.dalal atafel form two jamaa wako makin
 
sasa yupi anasema ukweli? huyu anasema anasoma, mwingine analima, oh mara messenger, mbona hivo lakini! mtu akiuliza anataka kujua, mtamzibia riziki mwenzenu, mnajuaje nia ya muulizaji?
 
Hahahahaa mpira pesa kijiwe chetu mkuu my web , baada ya katiba ya simba kubadilishwa na kuongeza qualifications za mtu kuwa mwenyekiti wa simba at least awe na elimu ya kwanzia form four.. Hassan DALALI sasa hivi anasoma QT.

Mkuu Dalali lazime apige one ya saba yule mzee ni kichwa sana darasani
 
Kuhusu kubenea unaweza kupata taharifa zake wizara ya elimu kama kweli anasoma nje ya nchi au uhamiaji kama alikwenda kuomba viza.ila kiukweli anayejua yuko wapi atujuze make tumemiss habari motomoto za kubenea
 
sifikiri kama muuliza swali utapata jibu hapa hii ndiyo jf bwana mtu kusema hafahamu kwake sumu lazima atoe japo jibu la uongo ili naye aonekane yupo ha ha ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom