Saibaba Express!

Afu kwa upuuzi huo mijitu inakuja sema mwaka wa uchaguzi. hovyo!
 
ajali ikitokea utaskia oooooh freemason oooh sijui nn!! mm nikipanda basi alafu dereva akafanya ujinga namletea noma• tembezea vibao tu
 
Abiria wanawachekea hao madereva. Tembeza vitasa na report polisi.
 

Nafikiri wamiliki wa mabasi wakianza kuwajibishwa kikamilifu kwa ajali za magari yao baada ya uchunguzi na upelelezi wa kina kufanyika itakunguza haya mambo na watakua makini kwenye kuajiri madereva.

Tatizo nchi yetu ilipofikia huo uchunguzi utachakachuliwa tu.
 
ajali ikitokea utaskia oooooh freemason oooh sijui nn!! mm nikipanda basi alafu dereva akafanya ujinga namletea noma• tembezea vibao tu

wanawasingizia bure freemason wa watu!
 
Hapo abiria wanafurahia kuwahi. Mabasi yanakwenda kasi sana bila dereva kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…