Sahihi ya tajiri, sahihi ya maskini

ni kweli.matajiri wengi hawaweki sahihi za madoido mengi.
 
Asante mkuu,imenisaidia kujua kuwa mke wangu ni tajiri kuliko mimi.
 
Nasema hawa matajiri wengi huwa hatoi sadaka mpaka waibewe au kuporwa ndio hapo hunena aa a basi nikama leo ndio nimetoa sadaka na hapo haendi hata kutoa taarifa hukaa kimya na anajua akeinda kutoa taarifa polisi basi hapo tena atoi tena mpunga yaani kuengia buri kutoka posho na huyu masikini ataingea gharama ya kwenda kwa mganga wakati kaibiwa kisimu cha mchina na tafafuti na tajiri mamilioni huwa kimya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…