Sukari ni muhim katika mwili wa binadam ndo maana Kuna muda hata hospital mtu anapewa glucose.Soda,mafuta ya kula,sukari vinadhuru mwili,ni Haram!?
Kwakua sigara siyo chakula mi naona wangevuta tu muda wowote
Shukrani.Sio "kuzuru" ni "kudhuru"
Kama vina dhuru mwili ni haramu. Hata samaki kama ukimla anakudhuru wewe na mwingine hamdhuru, wewe ukimla unapata madhambi na anakuwa haramu kwako ila kwa mwingine ambaye hadhuriki na samaki huyo ni halali kwake.Soda,mafuta ya kula,sukari vinadhuru mwili,ni Haram!?
Acha kuharamisha ambavyo Allah hakuharamisha,unajipa uungu,mwenye mamlaka ya kuharamisha ni M/mungu pekeeKama vina dhuru mwili ni haramu. Hata samaki kama ukimla anakudhuru wewe na mwingine hamdhuru, wewe ukimla unapata madhambi na anakuwa haramu kwako ila kwa mwingine ambaye hadhuriki na samaki huyo ni halali kwake.
Huna elimu jamaa yangu,Wala huna uwezo kidogo wa kutafakariSukari ni muhim katika mwili wa binadam ndo maana Kuna muda hata hospital mtu anapewa glucose.
Niambie ni ipi faida ya sigara kwenye mwili wa binadam na lin ulienda hospital ukavutishwa hata fegi ili urudi kwenye hali yako baada ya kuonekana Kuna kiwango Cha fegi kimepungua mwilini
Alafu hata maji yanauwa ikiwa utayatumia matumizi yasiyo sahihi , Unaambiwa maji ni uhai lakin nenda kajirushe baharini uone Kama utaishi.
Katika uislam kila chenye madhara ni Haram na kila kilicho halali kinatakiwa kitumiwe kwa kiasi hata chakula ukila kwa pupa bila kiasi kiasi Cha kuuletea shida mwili wako(kuvimbiwa) unapata dhambi kwa mujibu wa mafundisho ya uislam
sigara ni MAKURUHU, unaweza kuvuta baada ya kupata futari, lkn si kabla ya hapo ndani ya mwezi wa RAMADHANI. bali UISLAMU unakataza kutumia kitu chenye kudhuru afya yako, sigara ikiwemo.Wakati wa mfungo wengi wanaacha kuzini na kunywa pombe ,lakini wavuta sigara wakifuturu tu moja kwa moja wanavuta sigara, je sigara siyo anasa? Na ni sahihi kuvuta sigara baada ya kufuturu?
The same way na kwa nguruwe?Kama vina dhuru mwili ni haramu. Hata samaki kama ukimla anakudhuru wewe na mwingine hamdhuru, wewe ukimla unapata madhambi na anakuwa haramu kwako ila kwa mwingine ambaye hadhuriki na samaki huyo ni halali kwake.
Nimeharamisha kipi kijana ? Naona umeamua kunizushia siyo ?Acha kuharamisha ambavyo Allah hakuharamisha,unajipa uungu,mwenye mamlaka ya kuharamisha ni M/mungu pekee
Nguruwe ana dhuru mwili na kumekuja nususi za wazi zikimuharamisha, kwahiyo hata kama angekuwa hadhuru ila dini imesha muharamisha kwa wazi, kwahiyo ni haramu.The same way na kwa nguruwe?
Kama mwingine akimla na hadhuriki kwa kigezo hicho hiyo ina maana inakuwa ni halali kwake?
Ni sahihi alichosema Sigara kuna mawazo tofauti baina ya wanazuoni wa kiislamu kwamba ni haramu au ni kwamba inachukiza tu.Mi kuna jamaa yangu mmoja anasema pombe imekatazwa na vifungu vipo ila hakuna verse iliyoyoa katazo kwa sigara
kuna sigara zinatangazwa (hata humu JF niliona tangazo lake) kuwa sigara hizo ni tiba ya baadhi ya magonjwa na lia inakuja na extra tiba ya kuondoa addiction ya sigara zingineNi sahihi alichosema Sigara kuna mawazo tofauti baina ya wanazuoni wa kiislamu kwamba ni haramu au ni kwamba inachukiza tu.
Kutokuwepo kwa aya au hadithi ya wazi kukataza jambo hilo ni moja ya sababu ya kutofautiana kwa wasomi.
Wapo wasomi wanaosema hii ni makruhu yaani inachukiza haipendezi kufanya lakini sio kwamba ukifanya kitendo cha kuvuta unapata dhambi ila haipendezi kabisa muislamu au binaadamu kufanya hayo.
Wengine wakasema sigara ni haramu kabisa kwa sababu inaharibu mapafu na ina madhara kwa binaadamu kwa sababu ni risk factor ya magonjwa mengi kama vile cancer,myocardial infarction,TB,pneumonia etc.
Na wakasema maadamu ina madhara basi haifai ni haramu kwa sababu mtume wa Allah kasema kwamba "haitakiwi kujidhuru wala kuwadhuru wengine" na mwenye kuvuta sigara anajidhuru taratibu.
Ila wasomi wa dini wengi wa sasa wanaisema ni haramu moja kwa moja kwa kutumia vipimo vya sheria ambavyo havikuja wazi kuharamisha.
Kwa mara ya kwanza naona mnyiha wa mbozi Muslim utaenda kuswali wapi kule mbozi? Vwawa,mlowo,Tunduma, msiya ? Haya wamwituHapana Mkuu Hairuhusiwi Vitu Vyote Tulivyokatazwa Waislamu Hatutakiwi Kufanya Sio mwezi huu tu Hata baada ya Ramadhani
Kuna mswanachuoni aliwahi kusema الأسماء لا تغير الأحكام yaani "majina hayabadilishi hukumu ya kitu.kuna sigara zinatangazwa (hata humu JF niliona tangazo lake) kuwa sigara hizo ni tiba ya baadhi ya magonjwa na lia inakuja na extra tiba ya kuondoa addiction ya sigara zingine
Hii kidini imekaaje?
Itakuwa ni ruksa kuvuta kwasababu haina madhara mwilini na kuwa treated kama dawa au nayo itakuwa considered kama haramu?
Siwezi kusema kidini imekaaje kwa sababu sio msemaji wa dini ila kwa kuwa nina haki ya kuweka maoni yangu basi mimi nimeweka maoni ila niko tayari kusahihiswa na wanazuoni wa humuHii kidini imekaaje?