The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Kinachokushangaza hapo ni kipi secretary!!??
There are two people in the city return one child one way only
ni yule yule wa dubai usihangaike naye
There are two people in the city return one child one way only
Hajakuelewa. I swear. Hajakuelewa
Hajakuelewa. I swear. Hajakuelewa
na hata kaa aelewe thread yake nyingine imotolewa anatapa kama mbayuwayu.
We unaweza kumuelewa asiyejielewa?
kwa kila ID anayofungua nampata mapema bado ana ushamba wa kutumia multiple ID unacheka naye na mbaya ni yuleyule
Ck ukimkuta getini kwako ndio utajua yy ni nsni ww c mpambe tu utavalishwa shanga ck yako ikifika amini hivyo usishadadie mambo kishamba ww hapa twn watu wana ajira nyingi unatafuta umaarufu kwenye mitandao nadhani ww ni bachela hujui maisha!!
umaarufu kwa fake ID mwanamke shanga babuu ndo fahari yake we kama hujui kutunza wacha wajanja wakubebee
mupe mupe
mrs Bishanga!alikua
hajui mwanamke fahari yake shanga
au alitaka avalishwe yeye!!
My Passion Lady miss you nilidhani umetekwa na Jiwelinaloishi