Sungura Toto
Senior Member
- Mar 7, 2013
- 198
- 43
mPM fasts!
dahh... mi ndo sijawahi kumuona humu hataaa simtambui...Jamani namtafuta sana huyu mutu napenda kuchati nae kamayupo anijibu plz !!!
Mgeni mwenyeji
Mwenyeji sana ila najua wengi hamnitambui coz sio msemaji sana napenda kusoma view zenu ikinipendeza ndio nachangia kidogo pia muda wangu ni mdogo sana kuwepo on line money make me crazy daily!! pamoja saaana!
!!!!????

dah! Kumbe kichaa? Sasa huyo unayemtafuta ni kichaa pia?
Ndio maana Tz tunataka kuanzisha div 5 kwa watu kama ww kichwa kigumu kama kiazi kikuu bana!!!!