Saga la Makonda: My Take

Kama ni hivyo angemwambia aandike barua ya kajiuzulu! Mitandao ni sauti ya watu, sio wote wana access ya kutoa maoni yao kwenye radio na TV. Hata yeye hufuatilia sana social media ndo maana amekuwa na maneno ya udaku na hekima pia.

Kama hataki kuonekana anayumbishwa na sauti za watu, amwambie ajiuzulu au ampe likizo kupisha uchunguzi. Kwa maneno yale ni dalili ya kiburi na dharau kwa sauti ya umma
 

Kwani wanaoupinga upuuzi wa Bashite ni upinzani tuu..? Sijui ni kwanini lakini kila unapoamua kutumia vdole vyako kufikisha ujumbe, unakuwa unafikisha ujinga na upuuzi zaidi.. Wako wana ccm wenye akili mara mia zaidi yako na wanausemea huu upuuzi..
 
You have said it all mkuu,

Huwezi kumtukana Rais halaf utegemee akusikilize interests zako

Approach nzima inayotumika dhidi ya Makonda si nzuri maana imekaa kiudaku udaki na kulipiza kisasi.

Halafu watu wanapoanza kudokeza kuwa Magufuli na Makonda ni mashoga...halafu hapo hapo wanamtegemea Magufuli eti amtumbue Makonda!

Mtu mnamtukana halafu hapo hapo mnamtegemea afanye jambo la kuwafurahisha...come on now.

Wrong approach.
 

Nape ni upinzani?
 
Binafsi nakubaliana na hoja yako.... Hii vita dhidi ya Makonda imekaa kidaku mno (Wauza unga+media+Vyama vya upinzani+Wasaka uraisi ndani ya CCM)Magufuli kwasasa hawezi kumtumbua Makonda kupitia shinikizo la watu hata siku moja binafsi napenda hii hoja ya Makonda ife kabisaa tufocus kwenye maendeleo inatupotezea muda tu aliyemteuwa anajua ukweli zaidi kuliko sisi wapiga kelele.
 
Awe na ego au la amecheza move ambayo ita mbana pande zote hata ikifika muda habari za makonda zikipoa. For now ana underestimate nguvu za sauti za watu mitandaoni akisahau kuwa wenye sauti hizo ni wale wale wananchi wake and they exist in both worlds za mitandaoni na in real life. Time is the best teacher
 
Mnafiki wewe ulianzisha mpaka thread hapa eti makonda anaonewa sina haja ya kukuonyesha kama una ji tia uchizi endelea na uchizi wako

Iweke hapa hiyo thread.
 
Hivi kabisa walitegemea atumbuliwe?hahahaha Magufuli hatumbui kwa shinikizo hata mara moja na hata wabunge wote wakitishia kujiuzulu hatomtumbua....Kosa walilofanya toka mwanzo ni kumuandama muda mrefu...
 
Wewe kuna ccm gani zaidi yako ambao watasapoti alichofanya clouds?
achilia mbali vyeti feki!

Ila amwache tu tuendelee kupata zile za moto moto kutoka magogoni!
kwasababu mule mule ndani kuna wengine hawapendi ujinga huu
 
Kwanza niondoa hizi ''akili ukoko'' zilizoganda kwenye kichwa chako na kukariri kila mtu anayeyeonyesha maovu/upungufu wa serikali hususani Magufuli kuwa ni ''Upinzani''. Hizi ni akili za kukariri na hazina nafasi kwenye jumuia ya watu wenye akili. Hivyo nasema kuna wengi wameona upungufu, usanii na makosa ya mkuu huyo wa mkoa na wanataka kuonyesha uchapakazi sio huo!
 
Nyani,,,,tambua kila jambo lenye faida lina hasara zake.

Mchana mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…