Hakuna safu mpya ni wale wale
Wakuu JF,
Najua wengi tuna furaha sana baada ya Makamanda wa ukweli wenye kutekeleza Mpango wa Mungu kumaliza Chaguzi katika ngazi zote.
Sasa bai, kwa kupitia uzi huu na tuweke safu nzima ya Uongozi wa Juu, kuanzia mwenye , m/mwenyekiti, katibu Mkuu etc etc.
Ikibidi na idadi ya kura walizopigiwa, including zile za ndio na hapana.
CHADEMA ni Mpango wa Mungu.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzz
Mwenyekiti..Freeman Mbowe
Makamu bara.Prof.Abdala Safari
Makamu zanzibar.Issa Mohamed
Katibu mkuu.Dr W.Slaa
Naibu katibu mkuu...........
mwl j k nyerere alikaa madarakani kwa takribani miaka 23 na baada ya kujiridhisha na mtu wa kumuachia kiti kampa mzee ruksa tena chaguo lake. Mbowe miaka 10 tu majungu ili akiache chama katikati ya nchia kitekwe na maccm, hiyo demokrasia hatuitaki wacha mbowe aongeze 5 ili iwe 15 tutampata mbadala wa mbowe baadae tena kwa mipango mathubuti. Hivi ukiachia demokrasia ya kipuuzi chama kikaingia mikononi mwa mtu km zzk na maharamia wenzake si chama kitakufa ghafla!!!!. Mbowe piga kazi kaka. Happy birthday kaka f. A. Mbowe.
Wakuu JF,
Najua wengi tuna furaha sana baada ya Makamanda wa ukweli wenye kutekeleza Mpango wa Mungu kumaliza Chaguzi katika ngazi zote.
Sasa bai, kwa kupitia uzi huu na tuweke safu nzima ya Uongozi wa Juu, kuanzia mwenye , m/mwenyekiti, katibu Mkuu etc etc.
Ikibidi na idadi ya kura walizopigiwa, including zile za ndio na hapana.
CHADEMA ni Mpango wa Mungu.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzz
Ni sawa na masharti tu hakuna watu ndani yake.Ni kweli ndani ya cdm viongozi wengi hawajielewielewi!
MATOKEO RASMI:
Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:
Makamu Mwenyekiti zanzibar
Said Issa Mohamed 645
Hamad Mussa Yusuph 163
Makamu Mwenyekiti Bara
Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2