Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Makatibu wa chadema wateule
Zanzibar-naibu katibu mkuu
1.salum walimu
mtangazaji wa channel ten na mfanyakazi wa vodacom ateuliwa kuwa naibu katibu mkuu zanzibar-chadema.
Naibu katibu mkuu
1.Johny johny mnyika
amrithi Zitto kabwe awa naibu katibu mkuu chadema.
Katibu mkuu
1. Dr. Wilbrod peter slaa
umejuaje na matokeo badoHakuna safu mpya ni wale wale
Hakuna mwenye sifa kumtoa Mbowe kwa sasa au uniambie nani ? Zito au?naona kama kaingia mitiniHakuna safu mpya ni wale wale
hata kama ni walewale wewe inakuhusu nini!kaa na uccm wako na ushoga wako,wacha wanaume tusonge mbele.Hakuna safu mpya ni wale wale
cdm kwa kinahitaji mabadiliko makubwa sana kama kinataka nnchini
kwenye uyeuzi
Kiongozi , umeelewa topic ya leo kweli ?Wewe ni nani kwenye hiki chama?
Nnapenda kujua, Mbowe, Slaa, Msigwa, Lema, Lyimo nnawafahamu. WEWE NI NANI NA UNATOKEA WAPI.
Hakuna safu mpya ni wale wale