Safu mpya ya uongozi CHAUMMA

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,975
Reaction score
27,908
Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:-

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini:

πŸ”Ή Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA
πŸ”Ή Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
πŸ”Ή Benson Kigaila – Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara
πŸ”Ή Mohammed Masoud Rashid – Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

#Enendeni mkavipigane vita!

#ALUTA CONTINUA!
 
Msajili wa vyama vya siasa atengue hiyo kamati kuu, akidi haijatimia, wameteuliwa kinyume cha katiba ya CHAUMA😁.
 
Yaani chadema sijui wapoje, akili zao zote ni lissu, ndiyo safi, lissu, ndiye mwema, lissu ndiye Mkombozi, lissu kumbe mpiga dili tu kwa wazungu!
 
Kwahiyo waliokuwa kwenye hizo nafasi before nao watahama chama kwenda kutafuta teuzi kwenye vyama vingine
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakome kabisa, huko ndio hawataonekana ng’ooooo Chama hakina hata Diwani mmoja, CCM furaha tupu
 
Hii ni Futuhi kabisa,yaani huu ndiyo ubunifu wa TISS kuiangamiza Chadema
 
Umechelewa sana. Wameshaweka hapa saa nyingi.
 
Vyama vingi viliingia ili kufurahisha wazungu. Wanasiasa wote ni wanachama tawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…