moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Usikute na mvua hizi kuna wana wanaamsha hapa DAR na hiki chombo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣 haha! Huyu jamaa sijui kafikiria nini!...
Usikute na mvua hizi kuna wana wanaamsha hapa DAR na hiki chombo....View attachment 1434975
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya sasa imekuja kivingine kabisa ila watu hawajashtuka!
Nakumbuka mabasi ya Safina, SCANIA zilipiga root za Dar to Mby, Dar to Kyela na Dar to Tunduma.
Nissan UD zili connect route ya MBEYA to Sumbawanga