Intelijensia nayo ni taaluma kama taaluma zingine, ni kwamba tu ni taaluma nyeti kuliko taaluma zingine. Lakini hili halizuii kujua baadhi ya vitu vya 'kawaida' kuhusu taaluma hiyo. Sio usiri kwenye jambo kama hili kwenye zama kama hizi, kama wezentu wanatengeneza hadi filamu kuonesha baadhi ya sehemu nyeti ya ikulu zao, au unyeti wa vyombo vya usafiri wa viongozi wao wewe hapa kujadili safe house tu unaona shida?